Faru Fausta, ambaye anaaminika kuwa ndiye Faru Mzee zaidi duniani amekufa akiwa na miaka 57

Mazishi lini?

Taratibu za mazishi zinasubiri Mzee amalize mapumziko ya Mwisho wa mwaka tujue kama ataweza kuhudhuria au vinginevyo maana bila ya juhudi zake huyu Faru angeshauliwa mapema sana na Majangili

Kifo cha kawaida cha Faru Fausta ni ishara ya uwajibikaji na juhudi ya awamu ya Tano otherwise angeuwawa na Majangili zamani
 
Fuasta hakuhamishiwa Burigi kweli huko akakutana na vitoto haviwezi kazi akafa kwa sononeko
Taratibu za mazishi zinasubiri Mzee amalize mapumziko ya Mwisho wa mwaka tujue kama ataweza kuhudhuria au vinginevyo maana bila ya juhudi zake huyu Faru angeshauliwa mapema sana na Majangili

Kifo cha kawaida cha Faru Fausta ni ishara ya uwajibikaji na juhudi ya awamu ya Tano otherwise angeuwawa na Majangili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akiwa na umri wa miaka 57 yule faru wetu maarufu Fausta ametuwacha.

Ni faru ambaye amelighalimu taifa mamilioni ya fedha ili kuokoa maisha yake ili aendelee kuishi lkn mungu daima hana mshindani na leo hii katutoka.
FB_IMG_1577540343240.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom