Nyie Tekaneni hapa Molde Norway XMass yangu Imeisha hivo

Mkuu huyo hayuko Norge hata picha alizoweka hapo ni za Helsinki Finland akitudanganya ni Molde
Sisi tulioshia kenya tu sijui tunacomment wap maana kuna finland sijui Norway

Wale wambagala
Goba
Mananyamala
Kimara
Mpiji
Tegeta
Buza
Kivule kitunda turudie kuisoma hiyo comments vizur maana naamini tumesoma finland tu hilo jina jingine hata hatuja soma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona umeandika kwa hasira na uchungu sana?
WEWE JAMAA MUONGO SANA HUONI AIBU??? HIZO PICHA NI ZA HELSINKI FINLAND. HIYO TRENI NI HELSINKI HATA NEMBO YA HELSINKI TRANSPORT IKO HAPO HSL. PRISMA NI S HEKILANTO CHAIN INAPATIKANA FINLAND NA WAMEFUNGUA PIA ESTONIA. NASOMAGA NYUZI ZAKO ZIMEJA KUSADADIKIKA NA UWONGO. UNAPATA FAIDA GANI?

NIMEISHI NORWAY WEE JAMAA UNAKERA. UNACHUKUA PIACHA ZA WATU NA KUPOST HUMU. SHAME BE UPON YOU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom