Kuku kuchi hawa ni original?

Unaweza kumnunua laki moja?
Kipi kitakushawishi umnunue laki moja.

Mkuu hawa kuku aina ya Kuchi na wengine wanaitwa Java aseel ambao wanapatikana sana India na Pakistan
Huwa wanatumika kwa kupiganiswa kama kamari na watu hupata hela kwa kazi hiyo
Wengi wanaobahatika kupata pure breed huwa wanapeleka Zanzibar na kuwauza huko
Anaewajua vizuri na kupata pure anaweza kulipia mpaka laki 4 na kwenda kuwauza kwa 1m (nina ushuhuda)
Hawa kuku ni vita tu hawajui kitu kingine maana hata Afghan wapo sijui ni risasi zile

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Duuuuuuh umetisha mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kidogo umenipa sababu yenye mashiko.

Lakini kama ingekuwa ni kwa matumizi kama ya kuku wengine ingekuwa upuuzi sana.
 
Hapana, mimi si mfugaji nilikuwa naweka tu rekodi sawa kwamba ni Kuku wa kigeni.

Ila kuna Wadau naona wanatambulisha aina mbalimbali za Kuku nadhani na hao watakuwa nao.

Hebu pitia huku:-
Nimepita mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa kama sijakosea wanatokea zimbabwe kwa hapa bongo wako shinyanga tabora na zanzibar
Hawa kuku kaka asili yake Mimi siijui kama ni njee au vip ila ninacho kifahamu ni sifa za kuku wenyewe. mfano wanakua na mdomo mfupi kama wa kasuku hawana viremba,hawana manyoya. Ila anaweza kuwa na sifa zote akawa ni fake. Kwa wafugaji na wanao wanunua wanawajua zaidi Mimi sina uzoefu nao ila nimewanunua kutokana na sifa nilizopewa. Asnte.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana EvilSpirit mmetisha sana nimekua na amani sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao mbona wanajulikana muundo wao mkuu
1355697_1454131897438-1.jpg
 
Back
Top Bottom