Recent content by yadoxy

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Sio siri Single Mother's wanajua kupenda

    Mkuu kajisahau badala ya kutoa sifa za single mother katoa sifa za sugar mumy
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Rished Bade: Taarifa ya makusanyo ya kodi

    Hiyo ishu ya kusema waliochini yake wamemuangusha ndio sipendi kuisikia kabisa!!!...Hata kwa jk ilikuwa hivyo hivyo, mkuu usipokuwa mfuatiliaji waliochini yako watapiga dili tu, mbona kwa magufuri tunaona hadi wakuu wa wilaya wanaiga mkuu anachokifanya?..
  3. Y

    JamiiForums Tanzania NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Unakuta madirisha ya matela Ni 9 lakin tella Mmoja tu, shida kwel kwel, jirekebisheni tutawakimbia ,muige wenzenu wanafanyaje mfano crdb!..
  4. Y

    JamiiForums Tanzania NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'

    Tulienda na jamaa yangu Mmoja hivi Ku process ishu ya mafao baada ya kuacha kaz katika shirika fulani, nilishangaa jamaa kufanyiwa mambo yake mapema na kubaki mm tu nikahisi labda kwa sababu jamaa Ni muislam na mm Ni mkristo na aliyekuwa anatuhudumia na muislam? Leo ndio nmeamini Sasa..,!?
  5. Y

    JamiiForums Tanzania NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Hivi nyie mnajisikiaje kuwa Benji ya mwisho kwa huduma bora?... Ni aibu bora NMB ingefutwa tu
  6. Y

    JamiiForums Tanzania DC amfukuza kazi Mganga wa zamu kwa uzembe kazini baada ya kukataa kumtibu Mtoto wa miezi 6

    Hata hivyo hospitali nyingi za wilaya ma CO's ndio wanapiga sana kazi na MD Ni kuzunguka tu wakishasaini wanaenda kufanya yao,na hilo nalo liangaliwe sio lawama tu
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Azam TV acheni kutuchakachua

    Bora uwaambie mkuu kwa sababu na mimi hapa nilikuwa najiandaa kulipia hiyo azam sport kumbe ovyo tu!?
  8. Y

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Kuzimwa kwa njia ya kusafirisha umeme kutoka Singida kwenda kanda ya Ziwa

    Hata kama mpka alhamic mwaka kesho Sawa tu
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Mfuko wa LAPF

    Hivi jamani naonbeni msaada nitapataja mkopo wa kujikimu kwa waajiriwa wapya kwani Mimi Ni mwajiriwa mpya na nimejiunga na Lapf, naombeni mawazo yenu!
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Abiria 17 waliokuwa wanasafiri kwa Basi la Kampuni ya BATCO wanusurika kifo

    Dully a.k.a misifa bby
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Nina mtoto 1, nimepata mchumba ananipenda ila simpendi, nifanyaje?

    Kama humpendi unaweza kutafuta mtu ambaye wote mnapendana kwa sababu ukijilazimisha kwa ambaye humpendi inaweza kukugharimu mbeleni,
  12. Y

    JamiiForums Tanzania Vijana vyuo vikuu waikana UKAWA hadharani

    Usituunganishe sema wewe ndio umeikana
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Esther Bulaya awekwa mahabusu kwa kumtukana mkuu wa kituo

    Hata Mandela alinyanyasika sana lakin mpka Leo SA iko huru,
  14. Y

    JamiiForums Tanzania Uamuzi wa NEC pigo kwa UKAWA

    Jamaa hana pointi kabsa, yaan kichwa cha habar na yaliyomo Ni vitu viwili tofauti
  15. Y

    JamiiForums Tanzania Mgao wa Umeme, Uchaguzi Mkuu na Nchi ya Viwanda

    Nahisi magufuri atatuletea power bank ya viwanda
Back
Top Bottom