Mzizi wa Mbuyu
JF-Expert Member
- May 15, 2009
- 7,467
- 7,258
Hivi lengo la makusanyo lkinapangwa vipi? Maana tusiwe tunasifiana kwa kuvuka malengo kumbe tumeweka malengo ya kuruka sufuria wakati tulikuwa na uwezo wa kuruka pipa au hata simtank lita 10,000!
Mkuu umenena vema! Malengo ya naweza kuwekwa chini ya uhalisia na sisi tukabaki kuchekelea kama mazuzu. ...Kumbe tunapigwa!