NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'

NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'

Status
Not open for further replies.
Wagalatia wa Tanzania wengi wana chuki dhidi ya Waislam unapowasikia wanasema sehemu kuna udini wanamaanisha ni Waislam, kwao Wakirsto wakiwa wengi sehemu ni haki yao..

Ukweli lazima usemwe Dau amegeuza NSSF kuwa sehemu ya msikiti...

Kama yule CAG Assad yaani sijui wana matatizo gani....
 
Ukweli lazima usemwe Dau amegeuza NSSF kuwa sehemu ya msikiti...

Kama yule CAG Assad yaani sijui wana matatizo gani....

Acha porojo wewe, jibu hoja hapo juu. Wakurugenzi wa mashirika mengine ya pensheni wame orodheshwa hapo juu, sasa tuambie wapi kwenye udini???
 
Wamejaa huko serikalin hawa wagalatia tokea nchi hii ipate uhuru.

Hakuna cha maana walichofanya zaid zaid ya wizi na ufisadi tuh.

Achen roho mbaya na chuki zisizo na maana nchi yetu soote hii.

1985-1995 ALI HASSAN MWINYI--Nchi uchumi ulidoda
2005-2015-Jakaya Kikwete:eek2::eek2::eek2: hata kusema naogopa-7+% inflation
 
Tulienda na jamaa yangu Mmoja hivi Ku process ishu ya mafao baada ya kuacha kaz katika shirika fulani, nilishangaa jamaa kufanyiwa mambo yake mapema na kubaki mm tu nikahisi labda kwa sababu jamaa Ni muislam na mm Ni mkristo na aliyekuwa anatuhudumia na muislam? Leo ndio nmeamini Sasa..,!?
 
Yaani kuna udini huko mpaka basi..na zito kabwe ndo kiongozi wa hiyo mambo
 
tuacheni ubaguzi wa dini au ukabila...hili zengwe tatizo ni kile cheo tu...tumekuwa wabinafsi sana!
kama yuko vibaya, aondolewe ila sio kwa kuwa yeye ni muislam.
wakristo acheni unafiki.
 
Acha porojo wewe, jibu hoja hapo juu. Wakurugenzi wa mashirika mengine ya pensheni wame orodheshwa hapo juu, sasa tuambie wapi kwenye udini???

NSSF walipogeuza shirika la umma kuwa msikiti.
 
1985-1995 ALI HASSAN MWINYI--Nchi uchumi ulidoda
2005-2015-Jakaya Kikwete:eek2::eek2::eek2: hata kusema naogopa-7+% inflation

JK kajitahidi wezi mkikuwa mwaiba ndio naana uchumi ukaenda chini

Nyie wezi sana ngoja tingatinga liwapitie
Kipind cha JK mliiba nkajilimbikizia mkasau kupeleka kanisani

Oviazi mlivyoiba na kuwork against JK system na JK akafanya fair play ndio unaona na waislam wapo position fulan fulan
 
JK kaachilia watu watende
Aliwadhibiti akajifanya kufunga masheikh ili mpate simpath kwamba hawapend waislam kumbe anawapa fair play

Je JK ametumika au kasaidia?????
 
Wakiristo wanachotaka ratio iwe wakiristo 40 kwa muislam mmoja hapo sawa lakini ikiwa waikiristo 10 waislamu 4 ni tatizo kwao watawaona waislamu ni wengi

Hawa jamaa chuki zimewapitiliza
Is wanawasilimia
 
Wanamajlis,
Hii mada ya udini ni nyeti kiasi ambacho serikali zote wameogopa siyo tu
kulizungumza bali hata kuligusa kwa mbali.

Ukija na hoja ati NSSF kuna udini kwa kuwa labda Waislam wanaajiriwa
ambako zamani haikuwa hivyo Waislam watakuja na orodha ndefu ya
Wakristo walioajiriwa katika serikali na mashirika ya umma kiasi unaweza
kudhani hizo si wizara bali ni vigango vya kanisa.

Lakini ili ujue wapi tatizo hili lilipoanzia naweka hapa rejea ambayo kwa
haraka itatusaidia kulijua tatizo la udini kwa undani wake, lilianza lini na
nani alisababisha saratani hii.

Ingia hapo chini uone kwanza jinsi Waislam walivyopigania uhuru wa
Tanganyika bega kwa bega na Mwalimu Nyerere lau kama hakuwa dini yao
na wao bila ya wasiwasi wakamuamini kuwa atakuwa muadilifu na atatenda
haki na kuweka mizani sawa uhuru ukipatikana.

Ingia hapa:
Mohamed Said: JINAMIZI LA UDINI TANZANIA: UTABIRI WA SHEIKH SULEIMAN TAKADIR

Baada ya hapa tutaendelea na darsa In Sha Allah.
 
Inasikitisha sana kuona hawa wenzetu sehemu wakiona waislam wameajiriwa tuh basi mioyo yao inawalipuka...

Kwan waislam hawana haki ya kuajiriwa?

Na iweje ionekane waislam ni tatizo kuonekana kwenye ofisi za serikali?...

Chuki ni za nin?...

Aliye waumba kashasema
Wanachuki sana hiyo wanayo ionyesha ni kidogo Tu

Hiki wanacho kionyesha kwa Dau dr na CAG pro Asad ni kidogo sana.

Lakini tuwafundishe uislam hawaujui

Malengo yao
Kuiba hela serikalin na kupeleka
kanisani.( Individual & through MoU)

Sasa nssf wanakosa fungi
Kwengine ppf pspf +++++ ok
 
[TABLE="width: 445"]
[TR]
[TD="width: 594, bgcolor: yellow, colspan: 3"]

LAPF

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent, align: right"]1
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Mkurugenzi Mkuu
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Eliudi Sanga
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent, align: right"]2
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Mkurugenzi wa Uwekezaji
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Rose Metta

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent, align: right"]3
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Mkurugenzi wa Fedha
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]John Kida

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent, align: right"]4
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Mkurugenzi wa Huduma za Wateja
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Valerian Mablangeti

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent, align: right"]5
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Mkurugenzi wa Utumishi
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Daniel Sigonda

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent, align: right"]6
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Mkurugenzi wa Kompyuta
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Daniel Kissiry

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent, align: right"]7
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Mkurugenzi wa Sheria
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]F.K Mutakyamilwa
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent, align: right"]8
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Mkurugenzi wa Ukaguzi wa Ndani
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Mariam Sinani

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="width: 445"]
[TR]
[TD="width: 594, bgcolor: yellow, colspan: 3"]PPF
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent, align: right"]1
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Mkurugenzi Mkuu
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]William Erio

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent, align: right"]2
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Mkurugenzi wa Operations
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Maina Mallya

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent, align: right"]3
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Mkurugenzi wa Sheria
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Vupe Ligate

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent, align: right"]4
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Mkurugenzi wa Fedha
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Martin Mmari

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent, align: right"]5
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Mkurugenzi wa Uwekezaji
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Steven Alfred

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent, align: right"]6
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Mkurugenzi wa Kompyuta
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Carina Wangwe

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent, align: right"]7
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Mkurugenzi wa Ukaguzi wa Ndani
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Hosea Kashimba
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent, align: right"]8
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Mkurugenzi wa Utumishi
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Julius Mganga
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent, align: right"]9
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]DIT
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Robert Mtenda Mema
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent, align: right"]10
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Mkugenzi wa adhari na majanga
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Uphoo Swai

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent, align: right"]11
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"] Mkurugenzi wa Operesheni
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Assumpta Maina Mallya
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="width: 445"]
[TR]
[TD="width: 594, bgcolor: yellow, colspan: 3"]NSSF
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent, align: right"]1
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Mkurugenzi Mkuu
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Ramadhani Dau
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent, align: right"]2
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Mkurugenzi wa Fedha
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Ludoviick Mrosso
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent, align: right"]3
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Mkurugenzi wa Shughuli
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Crescentius Magori
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent, align: right"]4
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Mkurugenzi wa Kompyuta
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Idd Halfan
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent, align: right"]5
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Mkurugenzi wa Utumishi
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Chiku Matessa
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent, align: right"]6
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Mkurugenzi wa Uwekezaji
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Yacoub Kidula
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent, align: right"]7
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Mkuu wa Ukaguzi wa Ndani
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Pauline Mtunda
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent, align: right"]8
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Meneja wa Uhusiano
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Eunice Chiume
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent, align: right"]9
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Mkuu wa Usalama
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Ramadhani Nassibu
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent, align: right"]10
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Meneja wa Tathmini ya Mfuko
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Sadi Shemliwa
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent, align: right"]11
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Meneja Kitengo makazi(majengo)
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Davis Senkoro
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent, align: right"]12
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Mkuu wa Idara ya Sheria
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Abdi Kagomba
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

COMPARE AND CONTRAST NANI WADINI KAMA TUNATAKA KUANGALIA MASHIRIKA YA UMMA KWAA MAJINA AU KUNDI FULANI HALITAKIWI KUONEKANA KWENYE UONGOZI KATIKA NCHI HII???

Msiongee kwa kubana bana pua... .kwani huyo Mh Rais Magufuli hayajui.. kwamba mnapia piga kelele kuyaficha mengine...hayo ndio matatizo ya kuwa na Ubongo wenye Mtindio wa Mavi....Zamani mlisema HAWAJASOMA HAOO kwhy hawawezi kuajiriwa...sasa hv wanaonekana mnaajivisha shanga za kiunoni na kuanza kusema WADINI HAOOO...acheni hizo...au USTAWI WA SHIRIKA ndio unawapa MISHAWASHAA?
Hizi data zimenistua sana udini wa NSSF sijauona zaidi ya udini wa Wakirsto walivyojazana.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom