Sio siri Single Mother's wanajua kupenda

Sio siri Single Mother's wanajua kupenda

Kama single motherz wangekuwa na upendo kama huo waliowazalisha wasingewaacha....
Wengine umri umeenda hawana jinsi tofauti na masista du

Wanapo achwa ndio hupata somo mkuu
 
Wanapo achwa ndio hupata somo mkuu

sio wanapoachwa tu, asikudanganye mtu hakuna kitu kizuri kama kuishi pamoja kwa aman na upendo.

Sasa hawa wakiachwa huwa hawajiamin tena kama kuna uwezekano wa kupata mwenza kwa hiyo lazima wawe makini.

Na wakati mwingine wanafanya hivyo ili waweze kuishi mjini.

chezea u single weweeee
 
Huna lolote unajikosha tu.
Hakuna wanawake rahisi kuwachukua kama single mom.
 
Ni tofauti na hawa vimodal kazi yao kubipu, utasikia baby nirushie vocha, msimu huu wa sikukuu single mother hatakama utamnunulia nguo ya sikukuu ni upende hawalazimishi kama hawa.com.

Single mother kwanza anajua kujali na kuhandle na anajua majambozi kitandani maana anakula ugali mkubwa na samaki tofauti na madot com wanakula chips kuku hata kiuno hawakati wanalala kama gogo.

Wapo vizuri kifedha na hawana tamaa za kuchepuka ili wajikimu, akikupenda kakupenda tofauti na hawa madot com.simu wanapiga hawabip ovyo kama hawa wengine.

Nampenda sana single mother, vichenchede kaa kando mizinga na michepuko kibao.

Mkuu ulitaka kusema SUGAR MUMMY au SINGLE MOTHER, sijaona kama single mothers wanafit kwenye hoja yako.
 
Mkuu kajisahau badala ya kutoa sifa za single mother katoa sifa za sugar mumy
 
Tunatumia na kuacha, wengine ndio mnaona mmepata wenyewe!!hao walikuwa wanatupiga mizinga Enzi zao nasi tunawapiga mimba Enzi hizo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom