Mgao wa Umeme, Uchaguzi Mkuu na Nchi ya Viwanda

malafin

Member
Jul 12, 2015
57
47
Leo ni miaka zaidi ya 50 toka nchi yetu ipate uhuru nishati ya umeme na maji ni tatizo la kitaifa lakini kuna watu wachache bado wanashabikia mfumo s.s.m
Leo Watanzania wenye kuendesha maisha yao kwa kutegemea nishati ya umeme ni taabu na dhiki kubwa huku mtaani, ukiwaangalia wenye Mashine za nafaka, stationary, maabara, studio, internet cafee, welder's, mashine za kuchana mbao, wauza nyama na samaki, na wengine wengi.
Wote hao hapo juu uchumi wao umeyumba kwa kiasi kikubwa na wengine kupoteza kabisa.
Ukiangalia multiplier effect kwenye uchumi hali ni mbaya sana hela hitembei sawasaw ila bado kuna watu wanachekacheka na chama kweli?
Ila bado kuna watu wanashabikia nchi ya Viwanda? Labda wanategemea umeme wa Power bank
Inaumiza sana kwa sisi Wananchi wakawaida, ila mwenye macho na aone na mwenye masikio na asikie na mwenye akili timamu na atafakari. As a Nation kuna kufika? Tufanye maamuzi ya busara kuelekea Tanzania mpya
 
Leo ni miaka zaidi ya 50 toka nchi yetu ipate uhuru nishati ya umeme na maji ni tatizo la kitaifa lakini kuna watu wachache bado wanashabikia mfumo s.s.m
Leo Watanzania wenye kuendesha maisha yao kwakutegemea nishati ya umeme ni taabu na dhiki kubwa huku mtaani, ukiwaangalia wenye Mashine za nafaka, stationary, mahabara, studio, internet cafee, welder's, mashine za kuchana mbao, wauza nyama na samaki, na wengine wengi
Wote hao hapo juu uchumi wao umeyumba kwa kiasi kikubwa na wengine kupoteza kabisa.
Ukiangalia multiplier effect kwenye uchumi hali ni mbaya sana hela hitembei sawasaw ila bado kuna watu wanachekacheka na chama kweli?
Ila bado kuna watu wanashabikia nchi ya Viwanda? Labda wanategemea umeme wa Power bank
Inaumiza sana kwa sisi Wananchi wakawaida, ila mwenye macho na aone na mwenye masikio na asikie na mwenye akili timamu na atafakari .as a Nation kuna kufika? Tufanye maamuzi ya busara kuelekea Tanzania mpya

Mkuu, heshima kwako. Watu wengi hawaoni hili. Huu ungukuwa wakati mzuri wa kuondokana na hiki kifungo cha ccm. Hakika sidhani kama Mungu atatuokoa tena tukikosa kuchagua uokovu mkubwa namna hii. This year should be the year of deliverence from CCM slavery. This is the God given time, I wish all Tanzanians use this opportunity to say goodbye to suffering and afflictions CCM has rendered in our life for more that 5 decades.
 
Wakati watu tunahitaji umeme wengine wanakazana kupiga ma-push up majukwaani.
 
Tanzania ya Pombe
 
Attachments

  • 1443857089126.jpg
    1443857089126.jpg
    30.3 KB · Views: 125
Ni kweli. Na cha kushangaza zaidi umeme hakuna lakini bado viongozi wa tanesco wanadanganya wazi wazi bila ya WOGA kwenye kwenye vyombo vya habari n.k. hivi watanzania kimewakumba nini? Wana ogopa au hawajitambui au wameridhika. Huduma hupati na kudanganywa pia na bado wengi wao kimyaa. Na wasi wasi hii generation ina walakin.
 
Leo ni miaka zaidi ya 50 toka nchi yetu ipate uhuru nishati ya umeme na maji ni tatizo la kitaifa lakini kuna watu wachache bado wanashabikia mfumo s.s.m
Leo Watanzania wenye kuendesha maisha yao kwa kutegemea nishati ya umeme ni taabu na dhiki kubwa huku mtaani, ukiwaangalia wenye Mashine za nafaka, stationary, maabara, studio, internet cafee, welder's, mashine za kuchana mbao, wauza nyama na samaki, na wengine wengi.
Wote hao hapo juu uchumi wao umeyumba kwa kiasi kikubwa na wengine kupoteza kabisa.
Ukiangalia multiplier effect kwenye uchumi hali ni mbaya sana hela hitembei sawasaw ila bado kuna watu wanachekacheka na chama kweli?
Ila bado kuna watu wanashabikia nchi ya Viwanda? Labda wanategemea umeme wa Power bank
Inaumiza sana kwa sisi Wananchi wakawaida, ila mwenye macho na aone na mwenye masikio na asikie na mwenye akili timamu na atafakari. As a Nation kuna kufika? Tufanye maamuzi ya busara kuelekea Tanzania mpya

Hapo ndio wanaomba kura kwa machungu haya sasa tafakari kura ikishapita kama hamtalia machozi ya damu. Gesi yetu wenyewe lakini umeme hakuna; zimebakia ngonjera za megawati kila uchao unahesabiwa megawati mara 50 mara 75 mara 300 yani hiki ni chama cha viini macho na porojo na watu bado wanaendelea kukenua meno ama kweli gharama ya ujinga ni msiba tosha. Hapo watu washapiga hela wala hamna cha gesi wala nini
 
Tukisema ccm imechoka hawataki,,, hiki ndiyo kilikuwa kiipindi kizuri kwao cha kubembeleza wapiga kuwa kwa kutoa vizuri huduma muhimu za kijamii kama huo umeme.
 
Aisee umenikuna sana aisee ukiongea na watanzania ukasikia sababu za kuendelea kuipa kura ccm utashangaa yaani wao hamu ya maisha bora hawana ila wao ni kutaka kuiona ccm ikiwa inatawala basi hii ni hatari sana

Hatari sana, halafu kuna watu wanaamini na kusapoti haya majizi.ndiyo maana Mzee Jomo Kenyata alimwambia Nyerere kuwa anatawala marehemu
 
Wakati watu tunahitaji umeme wengine wanakazana kupiga ma-push up majukwaani.
Asante mkuu. Hawa watu wana macho ila hawaoni, wana masikio ila hawasikii, wana akili ila hawaelewi. Tz haihitaji wapiga push up, inahitaji viongozi watakaofuta migao ya umeme, maji n.k. CCM hoiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Back
Top Bottom