Recent content by xtra

  1. X

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kurudi serikali kuu (ualimu)

    Habari wanajamvi. Nilikuwa mwajiriwa wa katika sekta ya elimu kwa muda wa miaka saba then baada ya kujiendeleza nikahamishia ajira yangu kwenye moja ya taasisi za serikali ila sasa nataka kurudi kwenye ualimu nifanyeje kwa wale wenye kujua pls.
  2. X

    JamiiForums Tanzania James Mbatia: UKAWA ipo imara, haitasambaratika, akerwa na kauli za Magufuli, CCM

    rais wa mafisadi el
  3. X

    JamiiForums Tanzania UKAWA wazuiwa kufanya mkutano Jangwani na Uwanja wa Taifa

    Acheni kutafuta cheap popularity
  4. X

    JamiiForums Tanzania Polisi yaingilia kati zomea zomea ya waliovaa nguo za kijani na njano!

    Dhambi ya ubaguzi itawatafuna nyie shangilieni tu
  5. X

    JamiiForums Tanzania Nyeusi kuitwa nyekundu

    Siasa sasa imekuwa kama kilimo cha mbogamboga
  6. X

    JamiiForums Tanzania kazi za sido vp?

    Majibu ya oral yalitoka mwez wa 3 mwanzon na mwez wa nne watu wakaanza kaz
  7. X

    JamiiForums Tanzania Kutoweka uzalendo kwa nchi: CCM haiwezi kuepuka lawama

    UZALENDO NA MAADILI YA TAIFA UTANGULIZI. UZALENDO ni ile hali ya mtu kuipenda na kuithamini nchi yake na kuweka maslahi ya taifa lake mbele. Uzalendo ni neno dogo lakini maana inayobebwa na neno uzalendo ni kubwa. Elimu ya uzalendo ni elimu ambayo imekosekana kwenye jamii yetu...
  8. X

    JamiiForums Tanzania Kura Zetu 528 za "HAPANA" Zimeenda Wapi?

    Unajifanya kushangaa nini? Bt kuna kitu cjakielewa kwani na wewe ulikuwa unahesabu kura au ndo idadi ya kundi lako!
  9. X

    JamiiForums Tanzania Sababu gani MBA ya Mzumbe inaitwa maharage ya Mbeya?

    Thatc personal!
  10. X

    JamiiForums Tanzania Sababu gani MBA ya Mzumbe inaitwa maharage ya Mbeya?

    Kweli umenena!
  11. X

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    ndoa iko Dar
  12. X

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    ndoa iko Dar
  13. X

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Nahama kwa ajili ya kuungana na familia yangu ambayo ipo Dar. Thats it!
  14. X

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Ndugu yangu, natamani sana ningebaki Moro bt nalazimika kuhama ili kuungana na familia coz nimeingia ktk ulimwengu wa wawiliwawili.
  15. X

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mimi mwlm wa shule ya sekondari Kayenzi iliyoko Manispaa ya Morogoro natafuta mwl wa kubadilishana nae yeye aje Manispaa ya Morogoro mimi niende Manispaa ya Temeke jijini Dar. Nina miaka saba kazin nina TSD na nimethibitishwa kazini. Mwenye interest tuwasiliane pleas
Back
Top Bottom