Msaada: Jinsi ya kurudi serikali kuu (ualimu)

xtra

Member
Oct 22, 2012
20
38
Habari wanajamvi. Nilikuwa mwajiriwa wa katika sekta ya elimu kwa muda wa miaka saba then baada ya kujiendeleza nikahamishia ajira yangu kwenye moja ya taasisi za serikali ila sasa nataka kurudi kwenye ualimu nifanyeje kwa wale wenye kujua pls.
 
Eleza vizuri mkuu hpo serikali kuu imeingiaje
 
Habari wanajamvi. Nilikuwa mwajiriwa wa katika sekta ya elimu kwa muda wa miaka saba then baada ya kujiendeleza nikahamishia ajira yangu kwenye moja ya taasisi za serikali ila sasa nataka kurudi kwenye ualimu nifanyeje kwa wale wenye kujua

pls.

Nenda UTUMISHI watakusaidia, tena ni simple coz ni selikarini humohumo.
Mi ilinitokea nilitoka ualimu wa secondary kwenda uhandisi wa telecom company binafsi, ikaja ishu nikapata u-TA serikalini hapo ndo ishu ilikuwa, Ila UTUMISHI wamenisaidia nimerudi serikalini, Ila kazi haikuwa ndogo.
 
Back
Top Bottom