Recent content by xJoe

  1. X

    JamiiForums Tanzania Kituo kikuu cha Polisi Shinyanga Wamnyima ndugu yangu kanyimwa Dhamana

    tahadhari; wengi humu ni wapangaji ila kwa kuwa umewafata mwenyewe mameno hawatakunyima
  2. X

    JamiiForums Tanzania Msaada: Amenishtua sana japo nampenda

    kwa ushauri huu unamwakikishia huyu dada aendelee kuwa mtenda dhambi ya uzinzi milele.Naomba umkumbushe kuwa Mungu anakuja,hivyo kwa style hiyo tayari anaioma nafasi yake ktk ufalme wa mbinguni. ushauri wangu kwa mdada ni kuachana na huyo bwn aanzishe maisha mapya yatakayomtia amani na furaha ya...
  3. X

    JamiiForums Tanzania UKAWA waingia hasara kubwa Harambee Mlimani City!

    huwezi sema hiyo ni hasara waliyoipata hao ccm,pengine km walishurutishwa kuwalipa kiasi hicho,la sivyo hiyo ndo thamanini ya pesa kwa hao wahusika.ni sawa na wewe unavyoridhia kununua kiberiti kwa sh 100,huwezi ita hiyo ni hasara kwako.
  4. X

    JamiiForums Tanzania Wanaume tuheshimiane

    njoo ujitulize hapa mama pasipo na stress
  5. X

    JamiiForums Tanzania UKAWA waingia hasara kubwa Harambee Mlimani City!

    hivyo unamaanisha walioingia kuchangia pale ukumbini walikuwa ni 1. mamalishe 2. waendesha bodaboda 3. bar maid 4. ...
  6. X

    JamiiForums Tanzania New Original DELL Mini laptop for sale

    ndo Tshs ngapi mkuu?
  7. X

    JamiiForums Tanzania True love

    duh! naamua kuachana na kazi hii ya ualimu,maana naona kupitwa na mambo mazuri,kila anayejitokeza kutafuta mme hamtaki mwalimu.Heri nusu shari...maana naona naweza ishia kuwamimba wanafunzi tu.
  8. X

    JamiiForums Tanzania Changia UKAWA/Lowassa kwa Tigo Pesa, M Pesa na Airtel Money kwa njia hii

    wafadhiri wameshasoma mchezo kuwa hakuna ushindi hapo.
  9. X

    JamiiForums Tanzania Karibuni twende kanisani

    amen,barikiwa pia
  10. X

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume aliye serious

    tuanzishe mahusuano ya awali mrembo kwa safari yetu ya ndoa
  11. X

    JamiiForums Tanzania Kampala inabamba kwa starehe

    mkuu sijatembea kwa mguu kufika hapa kampala.
  12. X

    JamiiForums Tanzania Kampala inabamba kwa starehe

    wadau nipo jiji la kampala ni siku ya tatu sasa nipo hapa,si utani hawa kina sebho na nyabho wanajua kula maisha,kwa nilichoshuhidia kwa muda huu bongo tunasubiri
  13. X

    JamiiForums Tanzania Wizi wa mafuta Petrol Stations

    mkuu utajuaje pump inatoa mafuta na si hewa?
  14. X

    JamiiForums Tanzania Slow Love Songs Fans

    umenikumbusha "my love" ni filam ya kinigeria pia
Back
Top Bottom