UKAWA waingia hasara kubwa Harambee Mlimani City!

UKAWA waingia hasara kubwa Harambee Mlimani City!

Mbona hiyo ni kidogo sana? ebu tuangalie hasara waliyoipata CCM

1. Walitoa fedha Billion 3.6 kwa Lipumba
2. Walitoa fedha Billion 4.5 kwa Slaa na Mchumba wake
3. Wametoa fedha Million 100 kwa wasanii Ray na Aunt Ezekiel @ 50,000,000/=
Je baada ya matumizi ya fedha hizo kuna mabadiliko waliyoyatarajia kutoka kwa wananchi?
Vipi ndugu kati ya hizo 30,000,000/= walizopoteza CHADEMA na hizo za CCM ni chama kipi kilicho kula hasara?

huwezi sema hiyo ni hasara waliyoipata hao ccm,pengine km walishurutishwa kuwalipa kiasi hicho,la sivyo hiyo ndo thamanini ya pesa kwa hao wahusika.ni sawa na wewe unavyoridhia kununua kiberiti kwa sh 100,huwezi ita hiyo ni hasara kwako.
 
huwezi sema hiyo ni hasara waliyoipata hao ccm,pengine km walishurutishwa kuwalipa kiasi hicho,la sivyo hiyo ndo thamanini ya pesa kwa hao wahusika.ni sawa na wewe unavyoridhia kununua kiberiti kwa sh 100,huwezi ita hiyo ni hasara kwako.

Jitahidi kuelewa maana ya hasara sio unakurupuka kuandika tu, Ninasema CCM wamepata hasara kwa sababu moja kubwa ambayo ni kwa kuwa walitoa hayo mabilion wakijua wazi kuwa UKAWA itasambaratika na wao kama CCM kupata nguvu lakini hizo fedha walizowapa hao watu yaani Lipumba, Slaa na Josephine + Wale wasanii (Ray na A.Ezekiel) hazijasaidi kwani hazijaishusha UKAWA kama walivyotarajia hivyo ndio maana na sema wamepata hasara kwani lengo lao halijatimia.
 
Sasa kati ya ccm na ukawa nani anapata hasara?akili za viroba bana yani lipumba alilamba bil 2 dr slaa na mchumba wake walilamba euro mil 1.5 sawa karibu na bil 4 twaweza bil1,aunt ezekiel na ray mil100,diamond mil500 bado polepole na kina wema na wasanii kibao wamechukua sasa jiulize nani kapata hasara pimbi wewe na bado nasikia mmegawanyika mpunga unakata na mpunga wenyewe si wenu ni mnachota hazina na raisi lowasa akiingia ikulu tunapiga audit ya ghafla pale hazina uone watu watavyorukia dirishani pale hazina
 
Bado mnafuta umoja usio wa kisheria? Nyie hamna hata bendera ya umoja wenu. Hivi huo ni umoja au utengano?

Hata ccm ni.muungano.wa vyama vitatu na ukawa wakati ukifika. Kitakuwa kimoja movement kwanza
 
Back
Top Bottom