UKAWA waingia hasara kubwa Harambee Mlimani City!

Duh dada wangu wa kazi kanijia asubuhi asubuhi anataka mshahara wake ili achangie mabadiliko..

BABU KIJIJINI NAE ANASEMA NIMTUMIE KITU KIDOGO ACHANGIE MABADILIKO...

NGOJA NA MIMI NICHANGIE TU NISIJEPITWA NIWEKE HISTORIA NAMIE NILICHANGIA MABADILIKO..
 
Hii kali, hakuna mahali lowasa alishaendesha harambee akakusanya kiasi kidogo cha pesa kama hiki kilichopatikana juzi kwenye harambee ya mabadiliko. Ni nini chanzo cha kushuka kwa moral ya wachangiaji wake?
Is it "a bad omen" kwa ndoto ya urais wa lowasa au ni moja ya tactics zake?
 
Nadhani eneo lilikuwa dogo sana na pia tarifa zilichelewa kufikia wana mabadiliko wengi!

Suala sio eneo dogo ni aina ya wachangiaji waliofika.Hebu fikiri waliohudhuria hiyo Hafla wangekuwa watano tu kama hawa
1.Reginald Mengi
2.Bahkresa
3.Manji
4.Rostam AZIZ
5.Dewji

Bado ungesema eneo dogo au watu walikuwa wachache????

Matajiri wamemkimbia Lowasa sio siri.
Shauri yenu mficha maradhi kifo humuumbua.
 
Hii nchi inashida sana. Huyu mtu akiambatana na matajiri nogwa akiwa karibu na masikini nongwa. Sasa mnataka mzee wa watu afanye nini?. Akina slaa walisema eti hawa matajiri anaoambatana nao ni wale wale mafisadi sasa kachangiwa na malofa bado maneno hayaishi. Tusubiri tu October 25 tumechoka na maneno maneno.
 
hivyo unamaanisha walioingia kuchangia pale ukumbini walikuwa ni
1. mamalishe
2. waendesha bodaboda
3. bar maid
4. ...
 
Kumbe hii alikuwa ni zamu ya malofa, matajiri bado.!
Kwa hiyo ni sehemu ya mbinu, haya ngoja tusubiri ya matajiri.
 
hivyo unamaanisha walioingia kuchangia pale ukumbini walikuwa ni
1. mamalishe
2. waendesha bodaboda
3. bar maid
4. ...

Inawezekana kabisa.Mchango wa milioni 80 ni mdogo mno.Wamedhalilisha Ukumbi wa Mlimani CITY.Kama lengo lilikuwa kupata milioni 80 walitakiwa waende kuchangisha ukumbi wa makuti,maeneo ya buguruni kwa kimbengele au uwanja wa Fisi.
 
Hii nchi inashida sana. Huyu mtu akiambatana na matajiri nogwa akiwa karibu na masikini nongwa. Sasa mnataka mzee wa watu afanye nini?. Akina slaa walisema eti hawa matajiri anaoambatana nao ni wale wale mafisadi sasa kachangiwa na malofa bado maneno hayaishi. Tusubiri tu October 25 tumechoka na maneno maneno.

Kweli kabisa. Mda wa kupepeta domo haupo kwa sasa. Ni kitendo cha tarehe 25 Oktoba kitahitimisha fitina na kukata ngepe za MAFISIem
 
Wandugu kuna tetesi kuwa UKAWA wameingia hasara kubwa sana katika harambee iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita. Waalikwa waliojitokeza kwa kuchangia Harambee husika walikuwa wachache sana na inasemekana ilipatikana milioni ishirini tu! Gharama za ukumbi peke yake pale !limani City ni milioni 30, na chakula cha waalikwa ilikuwa kama milioni 20.

Kina TAMKO , chakii , TeamLowassa , kbosho , japanese , Watu8 , Mzee kabwelana wengine wengi hawakujitokeza kuchangia.

Hivyo UKAWA imebugi na kuingia hasara kubwa, na hilo ni trailer ya 25 October 2015.

Watalijua Jiji.

Kuna mtu kanidokeza kuwa ile harambee ni geresha tu. Kuna mabilioni wanatafuta namna ya kuyaingiza kwenye kampeni lakini source hataki kujulikana, kwa hiyo watasema yalipatikana kwenye ile harambee. Subiri taarifa rasmi ya mapato.
 
Aisee sikuwahi fikiri una akili chafu mithili ya kinyesi namna hii...

Mlimani City Ukumbi Milioni 30? umewahi fanya Sherehe pale?

Chakula Million 20?

Hivi kwanini CCM inakosa kabisa vijana wenye akili?

Huyo sio kijana, ni mzee mpumbavu.

Kubwa jinga inshort.
 
hii nchi inashida sana. Huyu mtu akiambatana na matajiri nogwa akiwa karibu na masikini nongwa. Sasa mnataka mzee wa watu afanye nini?. Akina slaa walisema eti hawa matajiri anaoambatana nao ni wale wale mafisadi sasa kachangiwa na malofa bado maneno hayaishi. Tusubiri tu october 25 tumechoka na maneno maneno.
mkuu ndiyo akili za vijana mazuzu wa ccm WASUBIRI WAONE CCCM MALOFA TUTAKAVYO MCHANGIA KURA NYINGI!
 
Kuna mtu kanidokeza kuwa ile harambee ni geresha tu. Kuna mabilioni wanatafuta namna ya kuyaingiza kwenye kampeni lakini source hataki kujulikana, kwa hiyo watasema yalipatikana kwenye ile harambee. Subiri taarifa rasmi ya mapato.
Peanuts!
Lowassa mwenyewe anatoa mara kumi ya hizo.

Mambo yanaanza kueleweka sasa.
 
Mziki wa lowasa hamuuwezi mpaka ccm wamuelewe lowasa lazima wabustiwe akiri. Kwa taarifa yenu hela iliyopo ni kubwa kuliko tulivyotegemea. Wenye wivu kuzidi hata sisi wanawake mjinyonge tu maana hakuna namna
 
Back
Top Bottom