Recent content by xfet

  1. xfet

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Kuelekea msimu ujao 2020/21 Mapema kabisa Liverpool imeshatoka FA na Carabao kama kawaida ya Klop huko atapanga akina williams na brewster maana kikosi ni kidogo sana hakiwezi pambania mashindano yote hayo kama eti ili asajiliwe Thiago ni mpaka mtu aondoke ( Gini). ukiangalia benchi ndio...
  2. xfet

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa sahihi kwa huyu kocha uchwara Pep Guardiola

    [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
  3. xfet

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa sahihi kwa huyu kocha uchwara Pep Guardiola

    Pep ni kocha mzuri kwa timu yenye bajet kubwa kama City ,PSG, Bayern ,madrid nk ila timu kama Atletico, Dortmund, Arsenal, Liverpool, ukimpa Pep hawezi beba hata kikombe cha uji
  4. xfet

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kuchunga ukitembea mjini usiku

    Binadamu tunaoishi nao mchana ndio hao hao tunaoishinao usiku, ila cha ajabu usiku tunaogopana tunabadilika kuwa kama wanyama
  5. xfet

    JamiiForums Tanzania Tuzo ya Ballon d'Or kutotolewa mwaka huu

    Baada ya kuona kuwa lewandowsk atamgaragaza mpe dwa wao messi
  6. xfet

    JamiiForums Tanzania Watanzania tumezidi sana kumuonea mnyama Kenge

    kama juzi bundi alivyotanda kwenye lango la Yanga
  7. xfet

    JamiiForums Tanzania Watanzania tumezidi sana kumuonea mnyama Kenge

    bora kenge, Bundi ndio hapaswi kuonekana kabisa
  8. xfet

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa sasa kuna mtayarishaji wa midundo mkali kama S2kizzy Tanzania?

    Abbaaah!
  9. xfet

    JamiiForums Tanzania Mohamed Salah ni Mchezaji wa kuchungwa sana EPL

    duuh wee ni noma, respect
  10. xfet

    JamiiForums Tanzania Stendi Kuu ya Mabasi Dodoma ni kama airport za mbele, Rais Magufuli afanya kweli

    kwahiyo unataka kusema kwamba miaka yote hiyo ambayo hii miradi haikujengwa wapinzani ndio walikua madarakani? sasa hivi ndio imeingia ccm sasa kuprove au vipi?
  11. xfet

    JamiiForums Tanzania Kwanini kila namba ikizidishwa mara sifuri jibu lake linakuwa sifuri? My answer is more spiritual than Mathematical

    0×7 maana yake sifuri sifuri ziwe saba, 0+0+0+0+0+0+0=0 7×0 maana yake saba saba ziwe sifuri, maana yake hiyo saba haipo
  12. xfet

    JamiiForums Tanzania How many WhatsApp groups are you a member of? How potential are they?

    wanawashangaa wanaosikiliza redio karne hii hawasomi magazeti .. [emoji23]
  13. xfet

    JamiiForums Tanzania How many WhatsApp groups are you a member of? How potential are they?

    watu wa humu 1. hawana magroup mengi ya wasap 2. hawapendi kuchati wao ni kupiga simu maongezi yaishe haraka 3. Hawapo facebook wala instagram 4.ni watu waliostaarabika 5. huwa hawaumizwi na mapenzi 6. ukimsifia JPM ni kosa la jinai ........ .....[emoji23][emoji23][emoji23]
  14. xfet

    JamiiForums Tanzania Mabachela wenzangu, mnapika vyakula gani vya haraka haraka?

    mseto wa karanga mahitaji: karanga mbichi1/4 kilo mchele 1/2 kilo osha karanga zako vizuri, pima maji wastani kwenye sufuria , weka karanga hizo, chumvi na mafuta, funika vichemke kama dk 10, kisha weka mchele wako huko , hakikisha tuu wali wako haukauki saana, huu msoc unaezapiga na chai au...
  15. xfet

    JamiiForums Tanzania Brand ipi ya maji ni bora baada ya Kilimanjaro Drinking Water?

    yale maji ni pure from mount kilimanjaro
Back
Top Bottom