Trinity
JF-Expert Member
- Jul 20, 2017
- 1,867
- 3,618
Teh! Teh!Ukifika sehemu yenye historia ya vibaka tengeneza scripts hata kwa kuongea na simu ukiwa unaongea maneno haya...
Teh! Teh!Ukifika sehemu yenye historia ya vibaka tengeneza scripts hata kwa kuongea na simu ukiwa unaongea maneno haya...



Ukifika sehemu yenye historia ya vibaka tengeneza scripts hata kwa kuongea na simu ukiwa unaongea maneno haya
" ile kazi nimekamilisha na zoezi limeenda viziri bila kuacha ushahidi. Na wala sikupata usumbufu katika kuitekeleza japokua walikua wajeda wenye mafunzo lakini niliwadhibiti.
Kutokana na usiku kua mkubwa naona hizi bastola nije nazo Kesho asubuhi napokuja kuchukua pesa yangu ya malipo nitakuja kukabidhi ambazo bado zina risasi mpaka muda huu "





Nimecheka sana sio kwa mikwara hii.Honestly Bora utapeliwe yaani uibiwe kwa maneno kuliko kuibiwa kwa kuwekewa kisu, nondo kichwan au shingoni.
Leo jion ktk pita pita zangu nmekuta story ya boda boda kutapeliwa simu ya laki 2 muda mfupi uliopita.
Jamaa kawakuta washkaji kijiwe Cha boda, alkua anakula muhindi. Akagawa muhind huku salamu zinaendekea.
Mwisho kamchagua mmoja kwamba ampekeke eneo la duka hardware ili akanunue malumalu.
Kufika dukani akatok nje alipo simama boda na kumwambia, eeh bwana malumalu nilizoagizwa na bosi sijaziona Sasa naazima simu yako nipige picha hizi zilizopo nikamuoneshe bosi Kama atazipenda turud nizichukue.
Jamaa bila hiana akashuka kweny boda na kuingia ndan ya duka, wakashirikiana kupiga picha baada ya kumaliza wakapand boda wakaondok kuelekea umbali wa km 15 aliko bosi.
Baada ya kufika getin jamaa akaomba simu ili akamuoneshe picha bosi ndani, jamaa bila wasiwasi akamtolea na kumuelekeza pattern. Jamaa akaingia ndani ya lile geti ndani kulikua na pagali halijakalabatiwa.
Jamaa alisubir baadae akapiga simu kweny namba yake, akapokea akasema ndo namalizia mazungumzo nakuja.
Mweee, baada ya dakika 15 akapiga akajibiwa na yule binti wa mtandaoni kwamba hiyo namba haipatikan.!!
Oooh jamaa ndo anazinduk.! Kibaka kaingilia mlango wa Mbele kaenda kutokea mwisho wa fensi ambayo ilkua haijakamilika.
Jamaa kuchukia hawezi amebaki kutabasamu tu haamin alivyo pigwa pigwa.!!
Vibaka wapumbavu sana.




matapeli wanatumia akili nyingi sana zaidi ya Phd holder.Iyo ya kupita sehem za madada poa ilishsnikuta. Nilipaki gar maeneo yao nikisubir mtu flani. Mara ghafla defenda iyoo. Wakafika na mikwara yao chap nmeshapigwa pingu ( ndyo ilikuwa mara ya kwanza kufungwa pingu). Nilikoma nao huku nikijiamini sina kosa lolote. Maana wao walidai nilikuwa nafanya mapenzi ndani ya gar na wadada poa ila walivyokuja akakimbia. Mimi nilieauliza ushahidi wa tuhuma yao wakawa wanajigata ngata tu. Tulienda hadi kituoni wakinitishia kunilaza ndani hadi J3 ila mimi nikaona poa tu maana haiwezekani mwanaume unafikisha miaka 30 hata hujawai kulala maabusu. Ila ujasir na kutojali mikwala yao uliwashangaza sana hata kwenye kauta ya kituo hawakunifikisha. Wakaniachia tu apo nje kuwa nisiendelee kuwapotezea muda. Hata mia mbovu hawakupata.
Ila al in all nilijifunza hao jamaa ukiwa muoga wanakupanda kichwani.




Ungebabaika wangekupiga hela ya haraka haraka ndio ilikuwa lengoKumbe wewe ni mkora?Ukipotea njia njia usiniulize mimi maana nitakupeleka Chimbo tukupe vitasa na pesa yako mfukoni ndiyo budget yetu kwa pusher siku hiyo.
Haswaa!!matapeli wanatumia akili nyingi sana zaidi ya Phd holder.
Haswaa!!Haswaa!!
Hiyo ukiwa Nanjilinji sawa..Ukifika sehemu yenye historia ya vibaka tengeneza scripts hata kwa kuongea na simu ukiwa unaongea maneno haya
" ile kazi nimekamilisha na zoezi limeenda viziri bila kuacha ushahidi. Na wala sikupata usumbufu katika kuitekeleza japokua walikua wajeda wenye mafunzo lakini niliwadhibiti.
Kutokana na usiku kua mkubwa naona hizi bastola nije nazo Kesho asubuhi napokuja kuchukua pesa yangu ya malipo nitakuja kukabidhi ambazo bado zina risasi mpaka muda huu "
Ukiona mtu anaiba kwa kutumia akili ujue msomi inawezekana ana form six, Masters au digrii.Yaani ile staili hata uwe msomi vipi huwezi kuishtukia maana ni vitu ambavyo tunavifanya sana kuaminiana na kuazimana simu.
Ila kweli wasomi pia wapo hata wale jamaa wa Ile pesa tuma kwenye namba hii wengi wao ni wasomi.Ukiona mtu anaiba kwa kutumia akili ujue msomi inawezekana ana form six, Masters au digrii.
Ukiona unakabwa roba ujue vibaka wa darasa la safa.
Mi Ni Bora nikutane na msomi aniibie kwa ujinga wangu japo inauma, ila sio hawa vibaka wanaweza kuua hawanaga hasara.
Mwingine yupo humu anaitwa yoashi alitupiga humu jf siji sahau.!! Alikuja na ishu ya ku track simu zilizo ibiwa.
Dah acha tu.!
Epuka pia kutumia earphone watakuibia tu