Hivi kwa sasa kuna mtayarishaji wa midundo mkali kama S2kizzy Tanzania?

sampling ndio maana hao wasanii wenu hatuwaoni BET hata nominees
Kwanza sampling inakubalika kwenye utayarishaji mziki. Pili, kutoingia BET siyo kwetu tu hata wacongo wanaofanya mzikiambao una identity yao wa bolingo hawaingii na vipi wajamaica wanaingia? Unless wamehamiakabisa Marekani labda.
 
Kuna Ukali na Umaharufu... Kutoka kwa s2kizzy kuna msanii gani Kaibuliwa na ana fanya vizuri kwenye tasnia ambae hatukua tukimfaham b4!?
Mziki ulipofika sasa kwa maproducer ni ngumu kutoboa kama huna kitu kizuri ukapata umaarufu. Ukiwa na kitu kizuri wasanii wakubwa wote wanaamia kwako kufuata kile kizuri ulicho nacho.

Hii ngoma ya uyu msanii ya mwaka 2018 Laliandika rich mavoko ilifanya vizuri sana msanii mwenyewe ndiye akashindwa mantain produced by S2kizzy

Unaweza ukawa mbunifu ila unabuni vitu ambavyo kwenye jamii havipenyi kwa wakati au havieleweki sana either havina ladha mfano ni hizo beat za s2kizy ladha hamna kabisa,ni beat gani ya s2kizy utaiplay pekeake na ukaenjoy kama sio kuboeka tu.. Pita kwenye beats za akina ABBAH au yule dogo wa tongwe records BIN LADEN utafurahi mwenyewe na roho yako ndio maana wasanii kama akina DARASSA NA SAMAAAAAAAA wanatoboa.... Msanii hata awe mkali kama beat mbovu hamna kitu
 
Unataka kunambia beat za tunavesha, tetema, moyo, na far away hazinaladha ukiwa nazo kama instrumentals? Unaumwa ww
 
Kimambo ni konyo huyu ni Jini asee!!Beats zina vitu flani flani ivi sio vya duniani bablai,,Sikiliza Kolo ya Heri Muziki,Niteke ya Maua Sama,Banana ya Janjaro,Mimina ya Gigy money,Aibu ya Nandy,,yaani hadi Abbah, Blaq beatz na Yookeyz morento wameiga midondoko kwenye Wauwe ya Marioo
 
Dogo mzuri sema anatatizo la kusample kupita kiasi. Kwa hawa maproducer wa kipindi hiki Abbah ni wa kumuangalia vizuri pia
 
Unaweza ukawa mbunifu ila unabuni vitu ambavyo kwenye jamii havipenyi kwa wakati au havieleweki sana either havina ladha mfano ni hizo beat za s2kizy ladha hamna kabisa,ni beat gani ya s2kizy utaiplay pekeake na ukaenjoy kama sio kuboeka tu.. Pita kwenye beats za akina ABBAH au yule dogo wa tongwe records BIN LADEN utafurahi mwenyewe na roho yako ndio maana wasanii kama akina DARASSA NA SAMAAAAAAAA wanatoboa.... Msanii hata awe mkali kama beat mbovu hamna kitu
Tunavesha toa vocals ibaki beat,
Beat ya richmavoko ya - rudi toa vocals ibaki beat
Beat ya far away toa vocal ibaki beat
beat ya wanaona haya toa vocals ibaki beat tena hii beat mimi ninaenjoy ile sehemu ya mwisho inapobaki beat tu inagonga kwenye mzki mkubwa balaa tupu
Bila chuki aisee jamaa anajua hata beat ya la moto ni kali balaa ile flute siyo ya kiwango cha vumbi
 
Dogo mzuri sema anatatizo la kusample kupita kiasi. Kwa hawa maproducer wa kipindi hiki Abbah ni wa kumuangalia vizuri pia
Abha kuna beat naona anamuiga kimambo. Naye yuko vizuri sana ila mimi ukimweka s2kizzy kwangu ni mkali zaidi
 
Kimambo ni konyo huyu ni Jini asee!!Beats zina vitu flani flani ivi sio vya duniani bablai,,Sikiliza Kolo ya Heri Muziki,Niteke ya Maua Sama,Banana ya Janjaro,Mimina ya Gigy money,Aibu ya Nandy,,yaani hadi Abbah, Blaq beatz na Yookeyz morento wameiga midondoko kwenye Wauwe ya Marioo
Niteke ya maua sana lile beat ni balaa yani beat lina hatari halafu limejaa sijui upepo ule, hata ile beat ya nandy na sauti sol ni shida nyingine
 
eyooo Laizer
Laizer anajua kutengeneza beat za baibuda yule wasafi wasingeanza kwenda kweingine kupata ladha tofauti aisee angewapoteza. Siku hizi unakuta beat katengeneza mwingine vocal kafanya laizer, mfano nyegezi ile beat Black Q vocal kafanya laizer, far away ni s2kizzy vocal laizer same as tetema
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom