Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,419
- 18,368
Hamna la maana
Huwa wanajadili nini huko MMU ?
Huwa wanajadili nini huko MMU ?
wanawashangaa wanaosikiliza redio karne hiiOngezea kila mtu anapiga shoo ya kibabe bao moja masaa matatu
Hakuna hata wanaopigana mikuyenge ?Hamna la maana
Wabongo huwa hawachoki mada za mapenzi kuanzia asubuhi hadi asubuhi inayofuata wanajadili malavidavitunaopenda vitu vigumu(hard talks) tunapata shida kwenye magroup. nilijiona,nikaona kila.muda ni porojo tu
Kaza hapo hapoHayo mawili kutoka chini yote kwangu mchongo.
msalimie myra[SUB]Tulia mtoto mdogo wewe.. Ninayo zaidi ya 200 😂😂😂😂View attachment 1479101[/SUB]
sawa dokta😂Tatizo unalo,ur psycho if don't know
Poa bossakikutumia n mm nitumie
La vicoba, Nataka nikope halafu ni left.
Jamani Punguzeni Viingereza.
kwani mkuu unafanya usajili wa magroup?
You will be asked more question here..expects a waves of questions..
Nina groups nyingi aisee Kama 20 hiviii.. kwanza sio mvivu wa kusoma so nikiwa na muda Kuna groups zangu Kama 5 huwa nasoma message zao.
Groups zimenisaidia Sana yes. Ajira zangu mbili za mwisho nimezipata kupitia kujuana na watu wa groups.
Biashara wise zinanisaidia sana pia sababu nimetengeneza network mjini.
Kijamii yamenisaidia kujuana na watu ambao nikitaka msaada ofisi yoyote ile Kuna mtu atanisaidia bila usumbufu.
Japo hizo groups zipo za namna zote na sitamani kutoka group hata moja
Hehe hata nami nimetoka kapa dear labda tusaidiane😊Naomba unitafsirie,
[emoji20]
OkaySent it to me a link concern school of thought in pm,Inna.
I expected to get at least 2 link here
In a normal course we deal/start with positivism. Negativity comes later. Seems your nagative minded.Why? Do you think each and everything that found in these WhatsApp groups has a positive impact on your life?
In a normal course we deal/start with positivism. Negativity comes later. Seems your nagative minded.
Ni muda sasa wa kununua kamusi,Hehe hata nami nimetoka kapa dear labda tusaidiane[emoji4]
Sipo kwenye group hata moja. Hata la familia. Sitaki upuuzi huo.