Mohamed Salah ni Mchezaji wa kuchungwa sana EPL

Winga hatari wa Misri ambaye amejiunga na Liverpool akitokea AS ROMA ya Italia Mohamed Salah , anaweza kuipa Liverpool ubingwa wa kwanza , na hivyo kukata kiu ya mashabiki wa timu hiyo waliokaukiwa makombe kwa kipindi kirefu kinachofiikia umri wa mtu mzima.

Ni faida kubwa sana kwa ligi ya uingereza kupata mchezaji wa aina hii , huyu si mchezaji wa kupaka rangi mpira ili apigwe picha , ni mchezaji mkali ambaye kosa moja linaweza kukugharimu magoli mawili .

Ni miongoni mwa wachezaji wakali wa dunia hii wasiofahamika sana .

Muda utaongea , bali naipongeza sana Liverpool kwa kuwa na jicho la 3 la kuweza kumuona mchezaji huyu.
yametimia.............
 
Una maono mazuri sana
 
duuh wee ni noma, respect

Back
Top Bottom