Kwanini ya dini na imani umeyakimbia?Nipo na mengi ya kutosha, na sioni hata moja la "kuleft" coz yote yana impact kubwa kwangu. O level, A level, College, Family/Ukoo, Majirani na Maendeleo ya Mtaa wetu, Kazini, Kijijini kwetu. Nimeleft yote yanayohusu dini na imani.
Ukaacha yanayokujenga ki- imani ukaambatana na dunia. UMEPOTEA ndugu.Nipo na mengi ya kutosha, na sioni hata moja la "kuleft" coz yote yana impact kubwa kwangu. O level, A level, College, Family/Ukoo, Majirani na Maendeleo ya Mtaa wetu, Kazini, Kijijini kwetu. Nimeleft yote yanayohusu dini na imani.
Naomba unitafsirie,Umande
Yananiletea ukakasi tu mkuu, mambo ya kufikirika tu naona!Kwanini ya dini na imani umeyakimbia?
Sasa mnataka majobless tupoteze wapi muda wetu ?Kuna watu wana magroup mpaka unashsngaaa
No. 6 kila mtu ni anti Magufuli hahawatu wa humu
1. hawana magroup mengi ya wasap
2. hawapendi kuchati wao ni kupiga simu maongezi yaishe haraka
3. Hawapo facebook wala instagram
4.ni watu waliostaarabika
5. huwa hawaumizwi na mapenzi
6. ukimsifia JPM ni kosa la jinai
........
.....[emoji23][emoji23][emoji23]
Kama nashawishika kufanya ulichokifanya hivihata mm hushangaa pia. kuna sku nimeshika smu yangu nkaingia fb naangalia hv friend list nkajiuliza sasa hawa marafik wanasaidia mm kuingiza dollar ngap?? nkaona huu ni use**
....yaan in real life mm sna rafiki sasa inakuwaje niwe na rafiki fb? nkaanza ku unfriend mmoja baada ya mwingne mpaka sasa account yangu inasoma zero frends
Jiweke kwenye grup la michongo. Hayo yote ni magrup uchwaraNina magroup matatu.
Moja la wajukuu.
Kuna la vyombo
Kuna la vipodozi.
Soon moja nalikacha..
Maelezo mengine nikiamka.
Mimi huyuKuna watu wana magroup mpaka unashsngaaa
😀😀watu wa humu
1. hawana magroup mengi ya wasap
2. hawapendi kuchati wao ni kupiga simu maongezi yaishe haraka
3. Hawapo facebook wala instagram
4.ni watu waliostaarabika
5. huwa hawaumizwi na mapenzi
6. ukimsifia JPM ni kosa la jinai
........
.....[emoji23][emoji23][emoji23]