Recent content by X-not

  1. X-not

    Majambazi saba yakamatwa dar wakiwa na sare za askari polisi

    Na kupitisha, zile issue nyingine kwa njia ya Ambulance? Hii ni shida....
  2. X-not

    Wizi ticketi za kulipia parking uwanja wa ndege wa kimataifa.

    ni sawa unapewa dakika 10 za kutoka, lakini iweje, ukae dakika 50 ulipie masaa mawili? Kama saa yao ingekuwa ipo swa, ungelipia saa moja tu kwa gharama hiyo, huoni ni wizi! Tunalalamika kwa nani atatusikia?!
  3. X-not

    Wizi ticketi za kulipia parking uwanja wa ndege wa kimataifa.

    Habari, waungwana! Sijui kama kuna mtu humu alishawahi kutoa hili au lah! Na kama tayari mnisaidie na mimi pia. Imenitokea mara ya pili sasa, na nimechoka kutokana na gharama kuwa kubwa. Hapa umwanja wa ndege wa JNIA terminal 2, kunautaratibu wa kulipia parking kiasi cha Tshs. 1000/- kwa...
  4. X-not

    Ujumbe wa Jane wa Mwenge kwa mlio lala nae

    mwaka mmoja una siku 365/6 huyo dada kaambukiza watu 1500 tangu mwaka 2009 mwezi wa 5, hmmmm.... Hata kama alikuwa analala na watu 3 kama alivyosema kwa siku, hata akiwa kwenye kipindi cha kila mwezi?! Basi hisabati nilifeli kwenye kujumlisha na kutoa... Asante...
  5. X-not

    Wanawake na mauongo yao ya saluni haya hapa….!

    Hapa naona nimeongeza kitu juu ya :A S 39:!
  6. X-not

    Madudu ya wahitimu vyuo vikuu.

    hmmmmmmm......*.*
  7. X-not

    Tatizo katika ku-access browser ya simu na operamini.

    mkuu, inaniambia connection error check your network configuration and try again. Hili nimelipata kwenye nokia E series, na samsung pia, nimejaribu kuomba upya configurations katika samsung bado browser ikagoma kufunguka, nilijaribu kuhamisha opera kutoka simu yangu kwenda kwenye hiyo simu...
  8. X-not

    Tatizo katika ku-access browser ya simu na operamini.

    Habari waungwana. Ninaomba msaada katika kutatua hili tatizo. Ninapenda sana kutumia browser ya operamini katika simu zangu zaidi hata ya browser ya simu yenyewe. Lakini hivi karibuni nikijaribu kutumia operamini inakataa kabisa inachofanya ina-load tu halafu hata haifungui, tatizo hili...
  9. X-not

    The Golden Words of Hitler

    tunahitaji kiongozi kama huyo na huku kwetu......! Au nimesema bila kufikiri? Maana, tunabaki kukatishana tamaa, wakati waoga kujitokeza na kufanya harakati kama waliotutangulia.... Ni ubatili mtupu! Big up mkuu! Hata wanasayansi wanagundua vitu kupitia vitu vilivyopo!
  10. X-not

    Primary school!! Ilikuwa burudani kwangu

    enzi hizo mwalimu wetu wa Hisabati, alikuwa anatuvalisha vifuniko vya soda shingoni, mpaka utakapo pata 'vema' tano kwenye daftari lako ndio unatoa. Mzigo wa vifuniko mia, bonge la cheni... Mpaka nikaweza hisabati. Dah! Long tyme!
  11. X-not

    ungekuwa wewe ungefanya nini?

    Masaburi ndio niini?! ^.^
  12. X-not

    Hii sintoisahau!!!

    Napita tu! Natumai wote wazima!
  13. X-not

    Animal Quiz...

    Since this is the second tym nayaona nimepata pta kimtindo. But the first tyme ilinibidid nipige chabo, sikupata hata moja kudadadeki!
Back
Top Bottom