Tatizo katika ku-access browser ya simu na operamini. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tatizo katika ku-access browser ya simu na operamini.

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by X-not, Jan 7, 2012.

 1. X-not

  X-not Member

  #1
  Jan 7, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari waungwana.
  Ninaomba msaada katika kutatua hili tatizo.
  Ninapenda sana kutumia browser ya operamini katika simu zangu zaidi hata ya browser ya simu yenyewe.
  Lakini hivi karibuni nikijaribu kutumia operamini inakataa kabisa inachofanya ina-load tu halafu hata haifungui, tatizo hili nimesikia pia kutoka kwa watu wangu wa karibu wengi wakiwa wanatumia mitandao ya tigo, lakini hata wakibadili kwenda kweye Voda bado wanapatwa na tatizo hilo. Simu inaonyesha kabisa kwamba inapokea acess ya internet kwa kuonyesha alama ya E au G lakini haiwezekani kufunguka, tafadhari yeyote anayeweza nisaidia.
   
 2. P

  Paul S.S Verified User

  #2
  Jan 7, 2012
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Inaleta msg gani?
  Inawezekana umebadili settings za internet kwa simu yako, simu kama nokia hata ukiweka tarehe na mwaka sio ktk simu operamini haifungui.
  Unatumia simu gani? Na operamini ipi.
  Waweza kuitoa na kuinstall upya
   
 3. Suip

  Suip JF-Expert Member

  #3
  Jan 7, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,039
  Likes Received: 355
  Trophy Points: 180
  Nami simu yangu Nokia 2700 ina hiyo tatizo unatoaje na kuinstal upya vipi?
   
 4. P

  Paul S.S Verified User

  #4
  Jan 7, 2012
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  mara nyingi kwenye nokia opera mini inakaa kwenye folder la games, nenda huko ukiipata pofya option kisha delete, then tumia browser ya simu kwa kwenda Opera Mini & Opera Mobile browsers na install upya
  hakikisha settings zimekaa uzuri kwenye configuration
   
 5. X-not

  X-not Member

  #5
  Jan 8, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu, inaniambia connection error check your network configuration and try again.
  Hili nimelipata kwenye nokia E series, na samsung pia, nimejaribu kuomba upya configurations katika samsung bado browser ikagoma kufunguka, nilijaribu kuhamisha opera kutoka simu yangu kwenda kwenye hiyo simu, nika instlaa, ila ikawa inastuck, kitu ambacho sikukielewa kwa sababu maranyingi simu zikisumbua hivyo ninacopy tu opera na kuhamishia kwao inakubali.
   
Loading...