Wanawake na mauongo yao ya saluni haya hapa….!

.............mie style yangu hii mimi mwenyewe ndio hairdresser wangu na napendeza vilevile.....

images
nikitaka kuweka rangi my babe sosoliso ananiweka basi inapendezaaaa
images
Umetisha
 
Last edited by a moderator:
fyuuuuuuuuuuuuuuuu ama kweli wanaume viumbe dhaifu sana mwanaume jiaminiiii!!!!!!!!!!!!!!

Walewale. mwanaume siku zote anajiamini sana, nahsi ww pia ni mtaalam feki
 
nyuma ya pazia kuna wanaokwenda salon wakifika tu wanatoka kwenda kwenye mambo yao wakimaliza ndio wanarudi salon mr akimpitia anamkuta pale pale anajua mke alikuwa salon kumbee.............!!!
Khaaaaaaaaaaaaaaaa! makubwaaaaaaaaa! umenifanya nisome huku nimetoa macho, Loh! kumbe ndiyo maana wengine tunahesabiwa muda wa kwenda saloon.Asante kwa kunijuza.
 
Nadhani mwandishi wa mada hii ndiye mmbea kuliko hao anaodhani ni wambea, nakwenda salon, sijaona mgeni anayeingia saluni akishare mambo yake na kila mtu hata siku moja, wasichana wa saluni huwa wana stori zao ambazo mara nyingi ziko coded hata huelewi wanaongea nini. halafu ukitaka kujua kwamba mwandishi ni mwongo, hajui hata anachooongea, mtu akishare matatizo yake ni mwongo? si ni kweli? kwanza kama wewe si mmbea, mambo ya akina mama saluni huku wayaleteani? tena anaongea bila hata utafiti wa kina, akina dada saluni wanaongea kwani ndio sehemiu wanayospend muda wao. unaandika kichovu as if wanawake wote saluni tunafuata kufundishwa mambo, uko out of times, watu wana vijiwe vyao, tena anayeweza kumpotosha mkeo ni yule best friend wake , ambaye mume unatoka naye kwa siri na yeye anamfanya confidante wake bila kujua.
Usitufanye sisi wajinga, mjinga ni wewe ambaye bado unaamini story ambazo zimepitwa na wakati kabisa. Acheni kudhalilisha akina mama, kwa kujifanya mnawafahamu sana, kitu ambacho si kweli!
 
Nimevutiwa na maisha yako.hakuna gharama hapo.Mpe hongera shemeji>isije ikawa una njia nyingine ya kufidia gharama hizi, mfano, simu kali, mavazi etc.
huo mkwanja wa kufidia unatoka wapi?
kama naona gharama za salon siziwezi ndo ntaweza simu/mavazi......vikali?
simu nina siemens yangu c35, naitunza balaa
images
 
Nadhani mwandishi wa mada hii ndiye mmbea kuliko hao anaodhani ni wambea, nakwenda salon, sijaona mgeni anayeingia saluni akishare mambo yake na kila mtu hata siku moja, wasichana wa saluni huwa wana stori zao ambazo mara nyingi ziko coded hata huelewi wanaongea nini. halafu ukitaka kujua kwamba mwandishi ni mwongo, hajui hata anachooongea, mtu akishare matatizo yake ni mwongo? si ni kweli? kwanza kama wewe si mmbea, mambo ya akina mama saluni huku wayaleteani? tena anaongea bila hata utafiti wa kina, akina dada saluni wanaongea kwani ndio sehemiu wanayospend muda wao. unaandika kichovu as if wanawake wote saluni tunafuata kufundishwa mambo, uko out of times, watu wana vijiwe vyao, tena anayeweza kumpotosha mkeo ni yule best friend wake , ambaye mume unatoka naye kwa siri na yeye anamfanya confidante wake bila kujua.
Usitufanye sisi wajinga, mjinga ni wewe ambaye bado unaamini story ambazo zimepitwa na wakati kabisa. Acheni kudhalilisha akina mama, kwa kujifanya mnawafahamu sana, kitu ambacho si kweli!

Ni kweli...Mwandishi amepitwa na wakati. Hio MYTH ya salon kuharibu ndoa imepitwa na wakati. Imeandikwa, mwanamke mpumbavu huivunja ndoa yake mwenyewe.

Basi kama ni hivyo hata kitchen party nazo mtasema kwamba zinajenga au kuharibu ndoa? Maana watoa mada wa kwenye kitchen parties ni wanawake ambao hawana hata ndoa. Kwa hiyo ni akili ya mwanamke mwenyewe, achuje pumba zipi na mchele ni upi!
 
Husninyo.. ni wale toka nchi jirani kwa papaa muyoi toka pande ya mbujimai.. au hawa wa kwetu ambao wengi (kama sio wote) inasemekana ni mishumaa..?

Mishumaa au mabwabwa. Ila salon ni noma, halafu ukienda huko usipochangia kitu wanaanza kukonyezana eti unaringa. As if mambo wanayozungumza yanakuhusu. Ila na wanaume nao ni shombo, ukitaka kujua umbea wa WANAUME nenda shoeshiner utachoka hutaamini ni wanaume!
 
Husninyo!! nakupa 48hrs uwe umenipigia simu au, umekuja kijiweni kwetu tuchape umbea au ufike mjengoni for lunch!!!
 
Nadhani mwandishi wa mada hii ndiye mmbea kuliko hao anaodhani ni wambea, nakwenda salon, sijaona mgeni anayeingia saluni akishare mambo yake na kila mtu hata siku moja, wasichana wa saluni huwa wana stori zao ambazo mara nyingi ziko coded hata huelewi wanaongea nini. halafu ukitaka kujua kwamba mwandishi ni mwongo, hajui hata anachooongea, mtu akishare matatizo yake ni mwongo? si ni kweli? kwanza kama wewe si mmbea, mambo ya akina mama saluni huku wayaleteani? tena anaongea bila hata utafiti wa kina, akina dada saluni wanaongea kwani ndio sehemiu wanayospend muda wao. unaandika kichovu as if wanawake wote saluni tunafuata kufundishwa mambo, uko out of times, watu wana vijiwe vyao, tena anayeweza kumpotosha mkeo ni yule best friend wake , ambaye mume unatoka naye kwa siri na yeye anamfanya confidante wake bila kujua.
Usitufanye sisi wajinga, mjinga ni wewe ambaye bado unaamini story ambazo zimepitwa na wakati kabisa. Acheni kudhalilisha akina mama, kwa kujifanya mnawafahamu sana, kitu ambacho si kweli!

Shusha Pumzi bibie!! Amesema mawazo yake tu nadhani kwa dhamira nzuri tu!! Hatuwezi Kufanya Utafiti Kuhusu kila kitu,kuna vitu vipo wazi tu moja wapo ndiyo kama hili!!
 
Nadhani mwandishi wa mada hii ndiye mmbea kuliko hao anaodhani ni wambea, nakwenda salon, sijaona mgeni anayeingia saluni akishare mambo yake na kila mtu hata siku moja, wasichana wa saluni huwa wana stori zao ambazo mara nyingi ziko coded hata huelewi wanaongea nini. halafu ukitaka kujua kwamba mwandishi ni mwongo, hajui hata anachooongea, mtu akishare matatizo yake ni mwongo? si ni kweli? kwanza kama wewe si mmbea, mambo ya akina mama saluni huku wayaleteani? tena anaongea bila hata utafiti wa kina, akina dada saluni wanaongea kwani ndio sehemiu wanayospend muda wao. unaandika kichovu as if wanawake wote saluni tunafuata kufundishwa mambo, uko out of times, watu wana vijiwe vyao, tena anayeweza kumpotosha mkeo ni yule best friend wake , ambaye mume unatoka naye kwa siri na yeye anamfanya confidante wake bila kujua.
Usitufanye sisi wajinga, mjinga ni wewe ambaye bado unaamini story ambazo zimepitwa na wakati kabisa. Acheni kudhalilisha akina mama, kwa kujifanya mnawafahamu sana, kitu ambacho si kweli!
Jiwe likirushwa halafu ukisikia YALAAAA, jua limepata mtu
Kulikoni shosti watokwa na povu, mbona humu kuna wenzetu wanatoa ushahidi wa hayao yaliyoandikwa na mtoa mada
usiusemee moyo kama umezoea saloon za Masaki basi tembelea za KWA MTOGOLE utathibitisha haya yalosemwa
 
aahhh binamu hapo umenena huo ni mfano wa kuigwa, hizi saluni siku hizi kwa asilimia kubwa zimekuwa kama magulio hasa za Sinza... bora wangekuwa wanapiga umbea tu... afadhali lakini ukijua ya nyuma ya pazia lol.... chichemi

chacha njomba, nyuma ya pazia chi kuna diricha au nlango tu.
 
Back
Top Bottom