Watu hawajui tu, engineering projects sio ungwini.
Watu wakisikia gharama ya kitu wanawaka utadhani hawajaenda shule.
Ingekuwa mchina hapo wangeandika 100m na wasingehoji, mchina angejenga kama Darasa, baadae anawaachia wanakijiji inakuwa ofisi ya kijiji.
Guys temporary office ina mambo mengi...
Nilishawahi pata tatizo kama hilo, mimi ilikuwa korodani moja, maumivu yake usipime.
Nilimwelezea muuguzi mmoja akasema ni UTI iliokomaa, Akanipa dawa nikapona, nimezisahau ningekuandikia Jina la dawa
Yaani act unampenda sana mtoto wake, mshauri shule nzuri Sana ya kumpeleka mtoto wake, (hakikisha unafanya hivi katikati ya term akiwa tayari ameshalipa ada)
Mletee mtoto zawadi hata kama ni ya elfu 5 tu
Utakuja kunishukuru
Na wewe unaamini kabisa kuwa anatongozwa tu.
Hapo anakuandaa kisaikolojia, ukija kumfuma na mtu anakwambia huyu ni yule nilikwambia ananisumbua, bado sijamkubalia.
Kwa uzoefu ulousema wa miaka 10,hukutakiwa kuleta uzi huu. Haya ni mambo ya wanafunzi Tena form 1
Brother wewe umeoa mtu, sio kabila. Na umegombana na mkeo sio wamachame. Infact wewe ndio una bahati kuoa machame.
Kweli Dunia haiko fair. Imagine mtu kutoka masasi, mla panya eti anapiga mkwara wamachame kwenda kwake... apaaa mbaka
CHADEMA waambieni wapiga kura wawe makini. Haya majangili wametoa huo kama mfano, kuna watu wataondoka nayo akilini wakijua CHADEMA ni ya mwisho, kwenye karayasi halisi ikawekwa katikati
Amechukua form peke yake. Wengine wakafungiwa milango.
Wakati wa kumpitisha, katibu mkuu bila aibu anasema katiba inataka wagombea watatu, ila aliyechukua form ni mmoja tu. What a joke!
CV tu million 3, una kichaa wewe. Issue sio waajiri, ni serikali, ina kodi nyingi Sana, ukiwa na Kampuni usipokuwa mjanja, nusu ya malato yako utaipelekea serikali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.