Marufuku ndugu yeyote kutoka Machame kukanyaga kwangu!

Marufuku ndugu yeyote kutoka Machame kukanyaga kwangu!

Mkuu kama unakuja hivi afu unakataa....

Ila nimekuelewa jambo moja tuko pamoja.... Kwenye familia yako hakuna mkubwa zaidi yako...
So wasikupangie chochote wala lolote..

Kwa familia lazima wewe uwe ndio kusema,Yaani ukitaka kitu ndio umetaka,, Taka yako ndio Taka,, za wengine takataka.
Hahah jeshini raha sana
 
Sasa wewe kuzira unafanya kazi nusu,wapelekee dada yao /mke wao kimoja huko huko kwao.
Wanaume lazima tuwe serious kwa mambo ya Maana.
Hiyo itafuata endapo wakiendelea kunipanda kichwani
 
Hao mashemeji wameanzaje kunyanyua simu na kumtukana shemeji, au huwa mnatukanana panapotokea? Matusi hayafai

Ila mkuu, hii marufuku uliwajibu hivo kwenye simu, au wamo humu hivo wataona kama wameambiwa wasikanyage kwako?
 
mtoa mada unapambana sana ku maintain profile ya Baba , thats great !!
Ukweli ni kuwa mkeo anakiweka busy sana kichwa chako !! Hiyo mimi nisingeweza , nahitaji mapumziko ya kutosha nikishaliza mishe za kutafuta pesa ,
Mwanamke akishakuzidi ujanja ni shida, ukute hata hizo simu unazopigiwa na mashemeji ni mipango ya mkeo.
 
Yaani naonekana mimi mbaya kwa kukataa mke wangu kwenda Machame? Nilileta nyuzi juzi kati hapa, na ninavyoandika hapa wife yupo Masasi anarudi Jumatano. Sasa kuna kaka zake wamenipigia simu wamenitusi, nikatumia uungwana nikauliza kwa nini natukanwa kiasi hiki? Wakasema "wewe ni mjinga kwa nini sister umemzuia asije?" Wanadai nimedharau mila zao.

Hawa huwa wanakuja home mara nyingi sana na nawakaribisha vizuri, kifupi sina gubu ila nachukia sana matusi, hawa kaka nimekuwa nikiwaheshimu mno, ila kwa hili hapana. Mke wangu hajui chochote mpaka sasa.

Sasa uamuzi wangu ni kupiga marufuku ndugu yeyote wa mke wangu kutoka Machame kukanyaga kwangu, isipokuwa wazazi wake pekee.

Kwa ujumla ndugu zake wote wa Moshi wameungana na kaka zao kunishutumu kwa suala hili. Sasa nawaonesha rangi zangu halisi.
Tafuta pesa ili mashemeji wasikutukane maana kama wanaujasiri wa kukupigia simu basi jua mfuko wako ni wakawaida
 
Brother wewe umeoa mtu, sio kabila. Na umegombana na mkeo sio wamachame. Infact wewe ndio una bahati kuoa machame.

Kweli Dunia haiko fair. Imagine mtu kutoka masasi, mla panya eti anapiga mkwara wamachame kwenda kwake... apaaa mbaka
Ndio imeshatokea hivyo, sio mla panya tu, mpaka chura yaani. Na nimeshawapiga marufuku. Rats are so sweet! I love them
 
Yap, watu wamekariri mtu yeyote anayetokea kilimanjaro ametokea moshi na ni mchaga.

Wamachame wanajulikana sasa huyu mwenzetu
Wa samaki nchanga kajichanganya.
Yeah its true I love 'samaki nchanga', its my culture, na marufuku nimeshapiga, na hata Dada yako yupo huko huko Masasi kwenye panya, ananiandalia ili anibebee.
 
mtoa mada unapambana sana ku maintain profile ya Baba , thats great !!
Ukweli ni kuwa mkeo anakiweka busy sana kichwa chako !! Hiyo mimi nisingeweza , nahitaji mapumziko ya kutosha nikishaliza mishe za kutafuta pesa ,
Mwanamke akishakuzidi ujanja ni shida, ukute hata hizo simu unazopigiwa na mashemeji ni mipango ya mkeo.
Labda, ila hajanizidi bado.
 
Tafuta pesa ili mashemeji wasikutukane maana kama wanaujasiri wa kukupigia simu basi jua mfuko wako ni wakawaida
Waulize nauli za interviews zao anawalipiaga nani? Ni Mimi, mpaka nyumba zao nimewakarabatia baadhi ya sehemu, Mara kibao mno wananiomba niwasaidie hela za ada za wanao, kifupi ni masikini halafu wapumbavu.
 
Back
Top Bottom