Nina maumivu mkali sana kwenye korodani

scatter boy

Member
Mar 31, 2021
68
22
Habari za sasa hivi,

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22 nani mkazi wa mwanza ila kwa sasa niko Tanga kwenye masomo ..

Nina maumivu mkali sana kwenye korodani zangu, kiasi kwamba hata mda mwingine kutembea inakua ngumu ..

Nimesha kwenda hospitali ya mkoa hapa Tanga wakanipima ultra sound lakini nikaonekana sina hernia wala hydrocell na wala sijawahi kufanya tendo la ndo.

Nina uhakika kuwa sina magonjwa ya zinaa.

Hapa tatizo linaweza kuwa ni nini?

Msaada please
 
Pole Sana
Hospital Hiyo Kama Hajaona Tatizo Ina Maana Hukupewa Dawa Yoyote
Utakuwa Hiyo Mambo Ya Henia Ngiri Maji
 
Habari za saivi mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22 nani mkazi wa mwanza ila kwa sas niko Tanga ki masomo ..niko na maumivu mkali san kweny korodan zangu kiasi kwamba hata mda mwingine kutembea inakua ngumu ..nimesha kwenda hospital ya mkoa hapa tanga wakani pima ultra sound lkini nika onekana sina hernia wala hydrocell na wala cja wai fany tendo la ndo na uakika kua sina magonjwa ya dhinaa hapa tatizo lina weza kua nni msaada please
Mkuu hayo ni maradhi ya ngiri ya mshipa inayo kusumbuwa nitafute mimi kwa wakati wako ili nipate kukutibia upate kupona maradhi yako uguw apole.
 
Mkuu acha kufikiria mapenzi unadidisha sana huku huna pakukojoa, mishipa unaitesa na korodani ndio maana uuma
 
Nilishawahi pata tatizo kama hilo, mimi ilikuwa korodani moja, maumivu yake usipime.
Nilimwelezea muuguzi mmoja akasema ni UTI iliokomaa, Akanipa dawa nikapona, nimezisahau ningekuandikia Jina la dawa
 
Nilishawahi pata tatizo kama hilo, mimi ilikuwa korodani moja, maumivu yake usipime.
Nilimwelezea muuguzi mmoja akasema ni UTI iliokomaa, Akanipa dawa nikapona, nimezisahau ningekuandikia Jina la dawa
Sorry kaka kwangu mimi ni mpaka na mirija ya kupandisha sperm kotoka kwenye epididymis ina vimba sana
 
Back
Top Bottom