Recent content by Wonder Woman

  1. Wonder Woman

    Mpenzi wangu

    Hivi huu wimbo ni taarabu au?
  2. Wonder Woman

    ..ushenga..

    Labda hilo neno Lina maana nyingine.
  3. Wonder Woman

    Machine ya kunyanyua matiti-kandambili,lapulapu basi tena

    Hayanyanyui bana. Hiyo ni machine ya ku nyonya matiti. na kukutekenya tu ni kama ile mashine wanaume wanayotumia kupiga nyeto. ina wanyonya .. inawapa Blow job. na hii inafanya similar job to that one.:decision:
  4. Wonder Woman

    Adventure With A Superman

    Superman are you free today?
  5. Wonder Woman

    JF Photographer Of The Year 2011 Competition

    Jamani naomba sana Mzizi Mkavu awepo hapo. namuheshimu sana huyu mkuu.
  6. Wonder Woman

    ...Watu wa mahaba....

    Pole sana.
  7. Wonder Woman

    Top 10 armies in the world 2011-2015

    Sikujua China ipo juu ya America. safi sana Russia.
  8. Wonder Woman

    Mauzauza chumbani...!

    namwambia hiyo tabia ya kuingia kwangu au kuja kwangu kwa jinsi aliyo kuja siitaki kabisa yaani. sana sana chumbani kwangu sijapenda alivyofanya kwa ujumla.:spider: Na kirudia tena sina budi kumshtaki. :(
  9. Wonder Woman

    East Africa’s richest people

    wewe una ngapi? and how do you define the word "POOR" waweza elezea kwa kiswahili tu . Shukran.
  10. Wonder Woman

    Mauzauza chumbani...!

    anieleze tu alifikaje kwangu.. aliingiaje ndani na mpaka kitandani kwangu. akisema "SIJUI" hilo si jibu. Na we ujiulize ilikuwaje kuwaje jana .. Je ulimkaribisha?
  11. Wonder Woman

    Akina dada hii siku hizi ni fasheni au?!

    Hatuoni aibu kabisa sababu ni waume zetu. Nikuulize swali na wewe umewahi kumuuliza mama yako kama aliona aibu kukubeba wewe kwa miezi tisa? yeah nadhani avatar inakufaa kabisa yaani hata usifikiri kubadilisha.
  12. Wonder Woman

    Siku 60 za Mugabe hazijaisha?

    na mtabiri wangu wa karibu amesema ana miaka mingine 10 na zaidi.
  13. Wonder Woman

    Wanawake. . . .

    ulichosema ni kweli kabisa bi dada. wanawake wengi wanarudi nyuma kimaendeleo sababu ya kuangali au kuonea wivu maisha ya fulani . wakati angepoteza huo muda kufikiri kuhusu yeye na yake angefika mbali . HAta na hivyo nilichogundua kuhusu sisi wanawake. ikitokea shida yeyeto, hata kama...
  14. Wonder Woman

    Hii ndo dunia ya maharamia

    Hii imefanana sana na zile story zinazotoka NIGERIA...
  15. Wonder Woman

    Akina dada hii siku hizi ni fasheni au?!

    Tunaringia na kufurahia uwezo tulio nayo. Tunavaa na tutavaa chochote. si aibu kuwa mjamzito. Haikuwa aibu saa ile sasa imekuwa kubwa aibu ya nini? YES kuna fashion nyingi tena nyingi sana za wamama wajawazito.
Back
Top Bottom