Akina dada hii siku hizi ni fasheni au?!

mi nadhan ni fashen tena hasa ukimkuta na tumbo kuubwaaaa kapiga pedo na kibody
 
Sasa una mtumbo mkuuuuubwa unavaa kagauni kanaishia magotini unamlingishia nani mtumbo huo? Au anakuwa yeye ndo wakwanza kupata mimba?
Si na wewe uolewe ukipewa ujauzito uvae
maternity marefu,ili bwana wako afurahi?
Chuki ya nini kwa wanawake wasio kuhusu
halafu kumbuka kuna siku hata wewe ulikuwa kwenye huo Mtumbo.
 
Si na wewe uolewe ukipewa ujauzito uvae
maternity marefu,ili bwana wako afurahi?
Chuki ya nini kwa wanawake wasio kuhusu
halafu kumbuka kuna siku hata wewe ulikuwa kwenye huo Mtumbo.

Kwa hiyo wewe unatetea mwanamke kuwa na mimba kuuuuubwa na kuvaa skin jinsi na kitopu?!!
MP.
 
zamani ilikua vigumu sana kumuona mwanamke mwenye mimba,ila siku hizi naona kama wanafanya mashindano hivi?!! yaani kila siku lazima niwaone zaidi ya watano,unakuta mwanamke anayo mimba kuuuuuuubwa anazunguka nayo kariakoo!! sa sijui ndio fasheni au?! ........
MP.

Vip Maprosoo, ukiwaona unaona wivu au huruma? Mi nilidhani unawashangaa wanaume kuendekeza KITAMBI wakidhani ni mimba (maana hii ina thamani). Siku hizi vijana kati ya miaka 25 - 35 wanafurahia obesity, kwangu hili ndio nalishangaa (usiniulize kama na mimi naona wivu).
 
nawaheshimu sana. mkiwa na vimimba vyenu mkalishe basi makwenu.
MP.

Vimimba vyetu ulisikia tumeji tia wenyewe.

Hivi hiyo avatar ni mtu alikupendekezea au ulichagua mwenyewe ?:A S embarassed:
avatar27162_8.gif
 
Vaeni nguo za heshima jamani sasa unavaa kagauni kanaishia magotini unakuwa kama mwanamitindo au mimba nazo siku hizi zinafanyiwa fasheni

Tunaringia na kufurahia uwezo tulio nayo.
Tunavaa na tutavaa chochote. si aibu kuwa mjamzito.

Haikuwa aibu saa ile sasa imekuwa kubwa aibu ya nini?
YES kuna fashion nyingi tena nyingi sana za wamama wajawazito.
 
Vimimba vyetu ulisikia tumeji tia wenyewe.

Hivi hiyo avatar ni mtu alikupendekezea au ulichagua mwenyewe ?:A S embarassed:
avatar27162_8.gif

Najua hamjitii mimba wenyewe ila hamuonagi aibu ukitembea kila mtu anajua ulifanya mapenzi bila kinga!!

avatar umeipenda eeh?!
MP.
 
Najua hamjitii mimba wenyewe ila hamuonagi aibu ukitembea kila mtu anajua ulifanya mapenzi bila kinga!!

avatar umeipenda eeh?!
MP.

Hatuoni aibu kabisa sababu ni waume zetu.

Nikuulize swali na wewe
umewahi kumuuliza mama yako kama aliona aibu kukubeba wewe kwa miezi tisa?

yeah nadhani avatar inakufaa kabisa yaani hata usifikiri kubadilisha.
 
Sasa tunashauliwa kufanya mazoezi kwa sana ,hivo kuingia kariakoo na viwanja vingine ni kawaida kabisa kiafya
Na pia tukikaa ndani kazi zetu nani atafanya???
 
sanyingine mtu anakitambi chake we wasema mimba...kuwa makin wadada wameamua na vitambi km mimba ckuiz:peep:
 
Umenikumbusha kitaani kwetu kuna mshkaji alikuwa ana kidem chake anaishi nacho,mara tukawa tunaona kitumbo hicho,mara mimba ikafika miezi 7,haa ghafla wakagombana na mshakaji dem karudi kwao chalinze,baada ya wiki mbili kulikuwa na ngoma mtaani kwetu,hee yule demu siakatimba!! Hana mimba wala dalili ya kuwa alikuwa na mimba,wambea tukamuuliza kulikoni?akasema hakuwa na mimba yyte alikuwa analidanganya ***** tu,kuweni makini nyingne sio mimba wala nini!!
 
zamani ilikua vigumu sana kumuona mwanamke mwenye mimba,ila siku hizi naona kama wanafanya mashindano hivi?!! yaani kila siku lazima niwaone zaidi ya watano,unakuta mwanamke anayo mimba kuuuuuuubwa anazunguka nayo kariakoo!! sa sijui ndio fasheni au?! ........
MP.

Wanacho kukera ni nini hasa. Zamani ulikuwa unaona ila hukujua ni nini, ila sasa kwa sababu umekua ndo maana unatabua kuwa ni mimba na si kitambi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom