We all love this rapper,let's don forget that he z still a human...he makes mistake too!!!
And he z not goin back for the third time,he z goin to finish his second lock-up till 29...he the best guys!!
Inategemeana na file ya hiyo movie unataka download,kama ni flash file kind ya movie,lazima uinstall program ya kudownload a flash file,lakin ka ni file la kawaida unaweza tu download kama kawaida.
Ka unataka amisha movie toka kwenye CD,we icopy kwanza kwenye mashine afu itume kwenye flash!!
Jombaaa,una familia eti,ako kakikaragosi kasikuzengue,umeona watoto wangapi waukweli zaidi yake na bado ukawapotezea na ukalinda ndoa yako jamaaa???Temana naye ni kawaida ya watoto wa singda,wana mitego kinomaaa,trust me am still xperiencg that!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.