Kwanini wanaume wengi huwaogopa wanawake wenye sifa hizi?

hakuna lolote co wote me nilipata wakimakonde na wamechezwa kabisa na hawakufua dafu mapenzi hu2ndu 2 tena hasa uyajulie kama mm cjisifii nikiwa kitandani nakuwa m2ndu sana.

hata mi nilikuwa suelewi kwanini naogopwa sana, kumbe sababu ni hizo sifa zangu ulizozitaja hapo juu.
Lakini kwanini tuogopwe na midume?

Hapo kwenye umri mkubwa ni sawa... ila si kuogopwa ni kuto kuwa na mvuto ... sifa nyingine ndizo ninazozitaka na huwa hazinitishi ni namna ya kuejieleza ukaeleweka ukapewa mambo

Bora hata umkute yupo juu kuliko akiweza kuadvance wakati mpo wote, hapo ndio kiburi cha mwanamke utakapo kijuwa. tatizo ni watu kutokujuwa mungu ndio tatizo, watu wakirudi kwa mungu kila mtu ataijuwa nafasi yake ndani ya Familia/mahusiano.
...Niliwahi kusikia yule mama aliyekuwa makamu wa rais wa uganda simkumbuki jina lake alikuwa na PhD halafu akabahatika kuwa vice president, mumewe alikuwa just a graduate engineer...alitaka kuleta zile zao jamaa akawa anampa kichapo tu. Museveni aliposikia vice wake anachezea kichapo akajifanya kuhoji kwa nini?? jamaa akamwambia this is my wife she has to obey my orders regardless of her vice presidency status violation of those orders will lead to punishment.....M7 akawa mpole....

Ndungu wana JF sikuzote panapokuwa na hoja au jambo ujue kuna ambaye limemkuta/kumfika!
Tukumbuke misaafu/neno la Mungu linasemaje, ndipo tuweze kuchangia hoja. Nanukuu kutoka kwenye biblia ''Mke mwema hutoka kwa Bwana'' kwa wale ambao ni wakristo wataniunga mkono na kwa mujibu wa kuraani tukufu sina uhakika inasemaje! Nashauri kwa swala la mtu kumpata mke wake ajiridhishe yeye mwenyewe kwa sifa anazozitaka na siyo influence ya chochote! maana hapo ndipo matatizo yanapoanzia.

Swala lingine la msingi ni uvumilivu kwa wale ambao tayari wako katika ndoa!

Wengi wao wanaogopa usumbufu k.v masimango,kutokuwa waaminifu na kingine ni kuepuka inferiority complex kwa mpenzio au mkeo!

Manyanyaso ya kina dada ni balaa. Akheri ya mwanaume. Pesa ni vizuri awe nayo mwanaume na shule na vyote ila wanawake wabaki na urembo wao tu. Hii ndiyo kanuni. Angalia wanawake wote wenye sifa hizo hapo juu wameachika au kutokuolewa kabisa matokeo yake wako gender equality na hakuna maendeleo yoyote wanayofanya kwa jamii ikaonekana zaidi ya kuvaa gold na tanzanite na kwenda maclub makubwa na kutaka umaarufu eti mamaa fulani. Ovyo sana. Wanaume ehe wanaume. NAOMBA kuwakilisha

1. Wasomi

2. Wenye uchumi mkubwa

3. Warembo kupitiliza

4. Walio wazidi umri (mwanamke mkubwa zaidi ya umri wa mwanaume)

hehhh? Mbona mi babie wangu
1. Ni msomi
2. Ana uchumi mkubwa
3. Ni mrembo kupitiliza
4. Na kanizidi umri
lakini simuogopi?

Nahisi wanaowaogopa wenye sifa hizo wana matatizo.

We mkali..
Cn i test u f others wanaku0gopa?

Letme try..
Mmh
hata mi nilikuwa suelewi kwanini naogopwa sana, kumbe sababu ni hizo sifa zangu ulizozitaja hapo juu.

Lakini kwanini tuogopwe na midume?

hata wanaume wenyewe tunachangia hali hii. mke akiwa na pesa kuliko mume tutasema '' lile jimama limemuoa'' mi siwalaumu wanawake coz mwanaume jasiri hasubiri unyonge wa mwanamke ili awe kichwa cha familia bali hutumia busara na hekima kama mwanaume.

1. Wasomi
2. Wenye uchumi mkubwa
3. Warembo kupitiliza
4. Walio wazidi umri (mwanamke mkubwa zaidi ya umri wa mwanaume)

1. Wenye uchumi mkubwa utashindwa kumcontrol, then atakuwa na viserengeti vingi akiwa 40 to 60.

2. Warembo watatongozwa na wanaume wengiii, na kwasababu wanawake ni wadhaifu, kati ya wanaume 10 watakaomtongoza kuna uwezekano akawakubalia walau wawili2. ngumu kumesa hiyoo

3. wasomi, hasa wa sheria,anaamini sheria inaweza kumuokoa na huwezi kumbabaisha, hivyo wote ndani mtakuwa mafahari na nyasi zitaumia(watoto). wasomi wengine wanainamishwa sana kwenye meza huko maofisini.

4. waliowazidi umri,,sio heshima, kuona uchii wa aliyekuzidi unahisi kama anakulaani vile.

i hope umepata majibu.

Sababu nyingine ni kwamba kwa kuwa na sifa mojawapo ya hizo ulizozitaja hata wao pia hutaka kumilikiwa na wanaume wenye hadhi zinazolingana na zao au za juu zaidi.Hali hii wanaume wengi wanaijua hivyo hujipitia pembeni kwa kuogopa adha ya kukataliwa hata kabla ya kutongoza.Pia wanaume huogopa dharau ya wanawake wenye sifa hizo na kuchapiwa na watu wenye Purchasing power.

Mi camin maana michepuko yangu yoote imenizidi umri kipato elimu na nk so uchunguzi wako mmm

1. Wasomi
2. Wenye uchumi mkubwa
3. Warembo kupitiliza
4. Walio wazidi umri (mwanamke mkubwa zaidi ya umri wa mwanaume)

Kuendesha gari lisilo na breki na unajua halina breki ni umajinuni! Mke kuwa Msomi si ishu sana, ila kuoa mke mwenye uchumi mrefu kumzidi baba ni kuendesha gari bila breki. I talk from my own experience.

Back
Top Bottom