Jukwaa la watumiaji wa Blackberry..share tips and tricks | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jukwaa la watumiaji wa Blackberry..share tips and tricks

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Ginner, Aug 16, 2011.

1. G

Ginner JF-Expert Member

#1
Aug 16, 2011
Joined: May 8, 2011
Messages: 1,139
Likes Received: 263
Trophy Points: 180
nimebaini hapa jukwaani kuna watumiaji wengi sana wa blackberries kuliko vile nilivokuwa nategemea. Simu izi zipo tofauti sana na simu za kawaida na inavitu vingi sana ambavyo watu wengi hatuvijui...karibuni wanandugu,,kama mna knowledge yoyote juu ya blackberry tushikishane hapa

2. mKaLI_mOkO

mKaLI_mOkO Member

#2
Aug 16, 2011
Joined: Aug 6, 2011
Messages: 25
Likes Received: 0
Trophy Points: 3
kama ni mtumiaji wa twitter follow BlackBerryHelp for tips n tricks as well as handling ur BB freshy....

3. Wizzy Ommy

Wizzy Ommy Member

#3
Aug 16, 2011
Joined: Aug 11, 2011
Messages: 19
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Hakuana App nzuri kwa ajili ya social networks kama UberSocial,try it out!!

4. G

Ginner JF-Expert Member

#4
Aug 16, 2011
Joined: May 8, 2011
Messages: 1,139
Likes Received: 263
Trophy Points: 180

Mkuu hiyo uber social ninayo ila nashindwa kuitumia...inatumikaje na ni kwa twitter pekeake haina facebook na social network nyingine

5. G

Ginner JF-Expert Member

#5
Aug 16, 2011
Joined: May 8, 2011
Messages: 1,139
Likes Received: 263
Trophy Points: 180
Crackberry.com......ts the best website kwaajili ya applications mbali mbali za BB

6. Rogie

Rogie JF-Expert Member

#6
Aug 16, 2011
Joined: Nov 22, 2010
Messages: 6,298
Likes Received: 3,034
Trophy Points: 280

Mkuu crackerry almost apps zote wanauza aise

7. Rogie

Rogie JF-Expert Member

#7
Aug 16, 2011
Joined: Nov 22, 2010
Messages: 6,298
Likes Received: 3,034
Trophy Points: 280
Kwa wenye hzo akaunti za social network na mna BIS mnaweza kuwa online 24/7 anaeingia kwenye computer atakuona kwenye chat

8. Husninyo

Husninyo JF-Expert Member

#8
Aug 16, 2011
Joined: Oct 24, 2010
Messages: 23,814
Likes Received: 589
Trophy Points: 280
Wanaotumia nokia za tochi wanipm niwape tips.

9. G

Ginner JF-Expert Member

#9
Aug 16, 2011
Joined: May 8, 2011
Messages: 1,139
Likes Received: 263
Trophy Points: 180

Basi kuna hii pia inaitwa nimbuzz..ni nzuri sana nayo maana unaweza ukawa online na uka chat live na friends wako wote wa yahoo,facebook, haves, hi5 na nyingine nyingi..inapatikana kwenye webiste ya nimbuzz na inafaa kwa simu zote zenye uwezo wa internet

10. Rogie

Rogie JF-Expert Member

#10
Aug 16, 2011
Joined: Nov 22, 2010
Messages: 6,298
Likes Received: 3,034
Trophy Points: 280
Nataman nichat na mtu kwa kutumia messenger wakuu...anaependa anitumie mail yake kwa PM ntamtafuta.

11. Yericko Nyerere

Yericko Nyerere Verified User

#11
Aug 16, 2011
Joined: Dec 22, 2010
Messages: 16,249
Likes Received: 3,836
Trophy Points: 280

Mimi ninayo lakini sijaona, unatumiaje fb,tt nk?

12. G

Ginner JF-Expert Member

#12
Aug 16, 2011
Joined: May 8, 2011
Messages: 1,139
Likes Received: 263
Trophy Points: 180

Ingia kwenye settings...nenda kwenye manage I'm accounts ...hapo uta sign in kwenye facebook..aim...live messenger...my space...google talk....hyves na icq...na wasiwasi kama twitter wapo katika hili

13. G

Ginner JF-Expert Member

#13
Aug 16, 2011
Joined: May 8, 2011
Messages: 1,139
Likes Received: 263
Trophy Points: 180

Kaka samahani iyo huduma unaiactivate vip...

14. Rogie

Rogie JF-Expert Member

#14
Aug 16, 2011
Joined: Nov 22, 2010
Messages: 6,298
Likes Received: 3,034
Trophy Points: 280

kwenye bb messenger(km ushaifuta download kwenye bb app world its free)unaingiza email ya mtu afu unatuma meseji inatokea page flan hv ya kuchat akikujibu mwenzio inatokea kwa chini ya msg uloituma.

15. Eshacky

Eshacky JF-Expert Member

#15
Aug 17, 2011
Joined: Apr 26, 2011
Messages: 966
Likes Received: 33
Trophy Points: 45

twitter, haipo ktk kuchat, ila waweza pata updates zake. Na unaweza uka2ma mms kwa unaechati naye. vilevile unaweza check locatn ya m2 unaechat nae! Enjoy.

16. Brakelyn

Brakelyn JF-Expert Member

#16
Aug 17, 2011
Joined: Oct 6, 2009
Messages: 1,236
Likes Received: 64
Trophy Points: 145
wakuu mimi mtumiaji wa Iphone lakini nilishakuwa na BlackBerry hivyo kuna hizi 'keygen' za applications za BlackBerry mnaeza kutumia kuCrack applications zilizoko kwenye hii list..

Here is a list of available keygens for blackberry apps (Updated)

mblware Keygen
BlackBook 2.0
FaceRate 1.0
ContactOrder 1.0
mblStats 1.0.2
mblVault 1.0.1
ShateItup 1.0 (Storm)

Toysoft keygens
AppClock 1.0.2/1.0.3
Ballz 1.0.3
BatteryInfo 1.1
BBPTable 1.0
BQuiet 1.1.2
BuzzOff 2.1
CalendarAppIcon 1.0.3
CallNotes 2.0.2
CallTools 3.0
DemoMaker 1.0
DIPCalc 1.0.1
FakeCall 2.0
GoFish 1.0.2
iamhere 1.0
iCalendar 1.2
Image Edit
KamaSutra 1.0.2
KoolSound 1.0
KoolSounds 2.0.1
LocationProfiler 1.1
Lucky7Slots 1.0.2
magicIcon 1.1
myCallLogs 3.0.1
myScheduleNFL 1.1
myStocks 1.0.8
NotNow 2.0
PictureDial 2.0
PictureDialer 1.1
PictureDialer 3.x
PictureID 2.3.6
ProfilerPro 1.0
RandomTones 2.0
SeaBattle 1.0
SendIt 1.0.2
SMSCounter 1.2
SMSPic 1.1
Shortcut Manager 1.0
SuperPower 1.2
SysInfo 0.5 (Strom)
TapOMania 1.0
TipCalc 1.0
VisualArts 2.0
VoiceMemo 1.0.1
WackOMole 1.0

All-in-one Keygen for some important soft
(reputations to Brakelyn)
Addonis
BerryBuzz 2.x
BerryPopup
BerryScrol (Storm)
BerrySilent
Berryweather 1.x
Blink
Camera To Go 0.3
Fake Call v2
FancyCharacter 2.x
IntelliLaunch
Meterberry
Profiler Pro v1
TiggitMail 1.1.18.1
TinyAlarm
Quicklaunch
QuickPull pro 3.x
SafeBox 0.0.3
SmartAlert
WifiFileTransfer

Some games Keygens
(reputations to Brakelyn)
Cliffed
Escape  Download application yeyote yenye trial alafu tumia keygen husika kuiCrack..nimeAttatch keygen 4 zenye uwezo wa kucrack application zilizopo kwenye list.. Run keygen husika alafu tumia BB Pin yako kuCalculate unlock code ya application yako.. enjoy....!  'when you go Mac, u never go Back'..!

17. G

Ginner JF-Expert Member

#17
Aug 17, 2011
Joined: May 8, 2011
Messages: 1,139
Likes Received: 263
Trophy Points: 180

Twitter haipo kabisa katika nimbuzz....ila unaweza post files pics na hata mp3 musiqs kwa mtoto yeyote alie friend wako katika mitandao ya kijamii tajwa hapo huu

18. Millah

Millah JF-Expert Member

#18
Aug 18, 2011
Joined: Jun 3, 2011
Messages: 412
Likes Received: 2
Trophy Points: 35
Cha kusikitisha kuhusu Blackberry ni kwamba kuanzia next version ya OS, yaani BB OS 8, inategemewa kutumia mfumo wa QNX centrino, maana yake ni kwamba simu zote ambazo zimetoka kabla ya BB OS8 hazitakuwa compatible na Apps za BB OS 8. Nadhani hata hivyo it's a step worth taking kwa sababu BB OS imekuwa nyuma sana kulinganisha na iOS na Android.

19. Millah

Millah JF-Expert Member

#19
Aug 18, 2011
Joined: Jun 3, 2011
Messages: 412
Likes Received: 2
Trophy Points: 35
Kama unataka kuwa na Twitter updates, Facebook Post na RSS feeds sehemu moja app nzuri ni Social Feeds

20. mKaLI_mOkO

mKaLI_mOkO Member

#20
Aug 18, 2011
Joined: Aug 6, 2011
Messages: 25
Likes Received: 0
Trophy Points: 3
nionavyo mimi RIM wako desperate sana kwenye kukompete na other device softwares....os6 haijakaa hata zaidi ya mwaka mara os7 ikatoka na hizi bb mpya za mwezi wa 5......mara os8 iko njiani?naona ukiiendekeza BB utalala hoi..
anywei BB its a nice 4ne ingawa natamaaani sana nitumie iphone ili niweze kuonja utamu wake.so far so good na BB.

Loading...