Mwanamke na kufika kileleni

Mwanamke na kufika kileleni

umenipa somo zuri. nafikiri litasaidia zaidi kudumisha mahusiano yetu
 
Wamekusoma.. Kumbe kutofika mlimani ni mambo ya kujitakia au sababu za 'kisiasa' tu.
 
Hawezi kukujibu, hata yeye amecopy humu JF hii thread na kaja kuipaste hapa. hili somo lipo kitambo humu.

Mkuu matola naamini wapo watu waliojifunza kitu kipya hapa na huenda wakaokoa ndoa zao au wakawafanya wenzi wao kujisikia nao wapo duniani. Nasema hili kwa kuzingatia ubinafsi wetu baadhi ya wanaume katika mapenzi na the way tunavyoishia kujiridhisha wenyewe bila kujali patners wetu. Jambo la pili tupe link alikocopy hii taarifa ili tuweze kuona kama kuna majibu ya maswali ambayo hayajibiwi na huyu "mtaalamu wetu". Mwisho sioni tatizo la mtu kukopi isipokuwa tu kwa maana ya Plagiarism kwa sababu sio kila mmoja wetu anaingia humu kila siku na kusoma kila kitu. Ukiangalia wengi wa wachangiaji utagundua hii ni habari mpya kwao sasa sioni kama ni busara sana kumuandama mtoa hoja kuwa kakopi bila hata kutupa ushahidi wa alikokopi.
 
nenda website ya Dinahicious-Sex,Relationships&Love utapata kila kitu tena kwa undani na nyingine nyingi tu
 
Back
Top Bottom