Recent content by Wiyelelee

  1. Wiyelelee

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe: Serikali haiwezi kufanya kazi bila vyombo vya habari, adai Makonda sio Kipaumbele

    Waandishi wa habari chapa kazi, andikeni habari zote hata za Mwakyembe, za Makonda bila ubaguzi. Msipofanya hivyo, njaa itawaumiza.
  2. Wiyelelee

    JamiiForums Tanzania RC Paul Makonda afika Bungeni kuhojiwa na Kamati ya Maadili. Taarifa itasomwa bungeni...

    Sinema itaendelea kesho.......................
  3. Wiyelelee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    I thought this thread could have been taken positively, but what i notice is different! Matusi ya nini sasa? If our colleagues in Kenya are advanced in certain projects, we need to appreciate that, same applied to them. We are far advanced in some projects than Kenyans. It is not possible to...
  4. Wiyelelee

    JamiiForums Tanzania Miaka 50 haijafanya kitu UKAWA mnamatatizo gani?

    Nadhani hujawahi kutoka nje ya Ubungo ndo maana unaona kwamba hayo maendeleo ya mabasi unayoyaona ni makubwa kupita uwezo wako na yanakutosha. Uwezo wa mtu kufikiri unaenda sambamba na elimu na kitu kinachoitwa exposure. To what extent have you been exposed outside Tanzania? That gives you the...
  5. Wiyelelee

    JamiiForums Tanzania Jaji Augustino Ramadhani achukua Fomu kugombea Urais wa JMT

    Hapa sasa amepatikana Kiongozi.
  6. Wiyelelee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamaa yangu anataka kumfumania mke wake leo

    Mbona yeye wangetaka wangemfumania mara kwa mara? Michoro yake yote inafahamika pia. Ni machachari kwa wake za watu sasa mke wake analipiza kisasi.:msela:
  7. Wiyelelee

    JamiiForums Tanzania Audio: Askofu Gwajima awajibu Polisi Kuhusu kuitwa aende kujieleza

    Mi nafikiri iwapo Gwajima anaona hakufanya kosa, aende kijisalimisha mwenyewe. Hiyo ndio njia sahihi kwa kiongozi wa nafasi yake. Lakini kuanza kutoa maelezo hapa hayana msingi wowote. Akatoe hizo hadithi kwa Kova.
  8. Wiyelelee

    JamiiForums Tanzania Investigative Journalism Tanzania ni tatizo kubwa!

    Wengi wameandika hapa ila wanagusia tu kujaribu kupata chimbuko la kuandika habari zenye taarifa hafifu. Ni hivi, wakati wa Chuo kile cha Tanzania School of Journalism, waandishi walikua wanasoma taaluma hiyo kwa nadharia na vitendo. Wakufunzi pia walikua waajiliwa wa taasis mbalimbali kama...
  9. Wiyelelee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Majibu ya uchunguzi wangu kwa wanaume wa JF

    Ushahidi ni kitu kizuri sana. Nadhani ungeanika hapa hizo PM zilikotoka ili tuwaone hao wakware......
  10. Wiyelelee

    JamiiForums Tanzania Watoto waliokuwa wamefichwa Moshi siri yafichuka

    Kuna vitu lazima mtu mwenye akili timamu afikirie kabla ya kuanza kubishana hapa. Mtu huwezi kumiliki kituo cha Kulelea Watoto (wawe yatima au wanaozulula) bila kupata usajili kutoka Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto. Moja kati ya mambo ambayo yanaangaliwa ni kuwasaidia watoto hao...
  11. Wiyelelee

    JamiiForums Tanzania Libermann School, Mnawanyanyasa watoto

    Karibu wiki nzima hii, nimekuwa namsindikiza mtoto wangu Shule ya Libermann iliyoko Mbezi Beach. Nitaandika kwa kifupi maana nawahi Mkutano. Nimeshuhudia watoto wanaodaiwa ada kuzuiwa nje ya gate, huku wenye gate pass wakipita tu. Nadhani Libermann wangekua wanatoa barua kwa wazazi kuliko kuzuia...
  12. Wiyelelee

    JamiiForums Tanzania Msiba wa Komba: Kanisa Katoliki Mmejidhalilisha, Mmetufedhehesha

    Ndo maana makanisa mengine wanatembezana kichapo wenyewe kwa wenyewe na heshima inarudi. Waulize Lutheran (Segerea) na Moravian (Kinondoni, Tabata) watawapa mbinu.
  13. Wiyelelee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimetembea na shemeji yangu

    Ungekuja kuniona nikupemushauri
  14. Wiyelelee

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu Dr. Bana anajielewa kweli?

    Mi sipingani na wale wanaomkubali Dr. Bana kwasababu katika elimu alyways kunakuwepo na two schools of thought. Mbali na hizo "schools of thought, kuna world view ambayo ni exposure...to what extent has someone been exposed to understand an issue? Kwa mtu yeyote ambae ni Msomi, au ambae amewahi...
  15. Wiyelelee

    JamiiForums Tanzania Polisi wa pikipiki waporwa bunduki 2 kwa kushikiwa kisu

    Msitake nicheke mie. Yaani mwenye kisu anapora askari tena wawili wote wakiwa na silaha?
Back
Top Bottom