Sawa ila mapungufu sio lazima liwe kitandani halafu kumbuka kuna wanawake tu wenye hulka hiyo na tamaa za kijinga
Mimi?
Hapana hata dalili ya kuoa sina
Si saa kumi au mlibadirishaMbona watu wameshamaliza kazi kitambo tu
Vp na ww ulitaka kumfanyizia?
Jamani leo saa kumi jioni kuna rafiki yangu anaenda kumfumania mkewe. Amepewa information zote kuhusu mke wake na guest ambayo huwa anapenda kuitumia wanapokutanaga na huyo mtu wake.
Sasa hapa ameniuliza nini cha kufanya endapo akifika na kumfumania mkewe aanze na kufanya nini?
Kaeni tayari kwa mrejesho

Kuna jamaa aliwahi kupiga chabo nusu alie maana jamaa lilikuwa nimemkunja mke wake wakati linasimamia show kiasi kwamba mwenye mke akawa anajua jamaa linafanya mauaji kumbe n manjonjo kitandani wakati yeye alikuwa anapiga mapigo yetu ya kibusaraMi namshauri amuangalie mwenzake Kwa makini anchomganyia mkewe ili ajue mapungufu yake yako wapi ajirekebishe kupitia msela aendelee na mkewe kama kawa