RC Paul Makonda afika Bungeni kuhojiwa na Kamati ya Maadili. Taarifa itasomwa bungeni...

Tumpongeze KWA UTHUBUTU aliouonyesha MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM ndugu Paul MAKONDA.KWANI vita dhidi ya madawa za KULEVYA JIJINI DSM SI LELEMAMA.
SOTE TUMESHUHUDIA AU TUNASHUHUDIA JINSI KIZAZI CHA MTANZANIA KINAVYOTEKETEA.TUNAONA KAMA KICHEKESHO KWA KUMWITA HUYU TEJA NA KUMDHIHAKI ILA HUYO TEJA NI RAIA WA TANZANIA.
Mimi wewe au yule tuchukue NAFASI ya MZAZI WA MTOTO ambaye ni TEJA .
Ungepatwa NA huzuni kiasi gani?
Vita ilikua nzuri hakuna anayepinga, ila njia aliyoitumia kufanikisha vita hiyo ndio watu wanamtilia mashaka.
 
Hata sijui nichangie nini maana hata sielewi kabisa mambo yanavyoenda nchini mwangu khaaa.....!
 
hahahahha kwahyo akifanya makosa asiguswe maana anapingana na madawa??? kwanini siang'a haandamwi kma issue ni wauza madawa??
Makonda amegusa mahali ambapo wengi wanaogopa kupagusa. Ni kijana jasiri sana alimsemea hovyo Lowassa tangu akiwa ndani ya CCM. Anachoweza kukifanya wengine hujiuliza mara mbili.

Nchi hii haswa kizazi cha vijana kinahitaji sana watu majasiri kama alivyo Makonda, kama alivyokuwa Mwalimu Nyerere.

Wachumia tumbo hawawezi kuipaisha Tanzania, wale vibaraka wa wauza unga hawawezi kuwa na jipya lenye manufaa.

Nchi hii itaneemeka kupitia ujasiri wa vijana aina ya Makonda.
 
Ndo nmesema siang'a si ndio kapewa rungu ssa mbona haandamwi kuwa kafoji vyeti???

Makonda unayemsifia mbona ile list ya watu 65 hakuna aliyekutwa na hatia wala ushahidi unatoa wapi basis ya kumsifia wakati wote wale inaonekana kma wamesinguziwa huoni imeshusha credibility ya huyo makonda wenu?

Ukisema wauza unga una maana nani mbowe gwajima azzan manji n.k ama?? kma ni hao mbona wamekutwa hawana hatia??? je zile taarifa kuwa aliwatishia watu flani kuwa wasipomtii atawaingiza kwenye list afu baada ya wiki wakafutwa je huoni hyo list inakosa uhalali????

ok basis yako ya kumuita mjasiri unaitoa wapi maana as per now HAKUTAJA MUUZA UNGA zaidi ALIWASINGIZIA !!!! nipe basis ya sifa
 
Mkuu usipende kutazama kitu kwa muonekano wa nje halafu ukadhani kuwa kwa asilimia mia moja ndivyo kilivyo kwa ndani, vinginevyo utaishia kuwa na aina hii hii ya mawazo.
 
Taarifa kutoka bungeni ni kuwa Makonda alikiri makosa na kuomba asamehewe kutokana na tuhuma mbalimbali zilizokua zikimkabili ikiwemo kudhararau bunge.

Mjumbe mmoja wa kamati amesema "amekuwa mnyenyekevu sana leo". Hatujui mapendekezo ya Kamati yatakuaje, lakini kuna hisia kuwa atasamehewa.!

ONYO
Tumewaamini tumewapa kazi,Mkimshindwa kumchukulia hatua kali Makonda,ikiwepo kumtaka Magufuli amtengue tutafanya kazi hiyo wenyewe.

is it?
 
Kosa la jinai la kufanya udanganyifu wa elimu haliwezi kuhalalishwa na sanaa ya kupiga vita madawa ya kulevya. Na actually, mtawadanganya wajinga lakini werevu wanajua kuwa hapakuwa na vita dhidi ya madawa ya kulevya, bali ilikuwa mbinu za kupora mali na fedha za watu! HAKUNA mtu mwenye akili timamu anayeweza kukubaliana na kilichokuwa kinatendwa kwa jina la kupigana vita dhidi ya madawa ya kulevya-acheni blah blah mwambieni bosi wenu aweke mezani cheti cha kidato cha nne chenye ufaulu, halafu aendelee na vita dhidi ya dawa za kulevya kama mnaendelea kumwamini!

mzalendo hawezi kufoji vyeti unajua maaana ya mzalendo wewe? wacha kuongea upupu. watu wanatembea kilomita kumi kwenda na kurudi kila siku kutafuta elimu halafu anakuja msaka tonge anaiba cheti ili apate madaraka then unamuita mzalendo? SHAME ON YOU!!!

Kabla ya operation ya kuwabaini wafanya biashara ya madawa ya kulevya mbona hakuna aliyekuwa anazungumzia vyeti vya Makonda?? hakuna!! Sijui kwa nini baadhi ya Watanzania ni ma flip floppers, hawana kanuni kama pepo za monsoon, wajanja wanatumia mbinu ya kuwasaulisha janga/vita dhidi ya madawa ya kulevya na nyinyi mnajiunga kwenye band wagon ya ku-derail mapambano dhidi ya madawa ya kulevya na hicho ndicho ma Kingpin wa madawa ya kulevya wanacho taka, na inaonekana wamefanikiwa kuwapofusha baadhi yenu - sisemi mambo ya kubuni hapa - kupata picha kamili angalia majibu jibu ya baadhi yenu hayana busara mnaonekana wala hamjali mateso ya waaga wa madawa ya kulevya, kama huu si u sadism uliyo pitiliza mipaka, tuiteje?? - badala ya kushikamana na Viongozi/Dola kutokomeza adui mkubwa wa nguvu kazi ya Taifa letu - mmekalia na ngojera zenu "Vyeti vya Makonda vyeti vya Makonda"- mnatumiwa tu na ma Drug Barons hata akili ya kulitambua hilo hamna kabisa!!

Kama mnafikiri Makonda ni thick upstairs alihitimu vipi Chuo Kikuu, je na huko aliweka robot imfanyie mitihani tangu mwaka wa kwanza mpaka wa mwisho? Discuss masuala ya kutuletea maendeleo.
 
Utakuwa na matatizo ya kufikiri na kuamua! Kwanza hebu tutajie wafanyabiashara wa madawa ya kulevya "aliowabaini" Bashite. Mwisho, kwa akili yako "mwongoza operation ya madawa ya kulevya" anapotuhumiwa tuhuma zake zinakufa "natural death" kwa kuwa tu zinamhusu "mwongoza operation"? Ndio mnataka mligeuze taifa hili liende mwendo huo?
 
mzalendo hawezi kufoji vyeti unajua maaana ya mzalendo wewe? wacha kuongea upupu. watu wanatembea kilomita kumi kwenda na kurudi kila siku kutafuta elimu halafu anakuja msaka tonge anaiba cheti ili apate madaraka then unamuita mzalendo? SHAME ON YOU!!!

There you are!! Kumbe kelele zenu zote na vitimbi chungu nzima vinatokana na wivu wa kitoto - eti kwanini kwa nini Makonda anapewa madaraka? Kwani hana cheti cha Chuo Kikuu, au unataka kusema Shahada aliyo nayo si ya kwake.
 
Utakuwa na matatizo ya kufikiri na kuamua! Kwanza hebu tutajie wafanyabiashara wa madawa ya kulevya "aliowabaini" Bashite. Mwisho, kwa akili yako "mwongoza operation ya madawa ya kulevya" anapotuhumiwa tuhuma zake zinakufa "natural death" kwa kuwa tu zinamhusu "mwongoza operation"? Ndio mnataka mligeuze taifa hili liende mwendo huo?

Oh man, not the same childish gibberish! Chabusalu, tell you what? These types of comments just spur me ON, knowing that I am effectively spreading the truth. CHEERS.
 
Back
Top Bottom