Hivi huyu Dr. Bana anajielewa kweli?

Hivi huyu Dr. Bana anajielewa kweli?

Lile jitu nilishaacha kulisikia kabisa. Huwa nikifungua TV nikaona jitu lenye mdomo mkubwa linautumia kutoa pumba najua ni huyo anayejiita 'Dr'Bana, nabadili channel. Kimsingi huyo hatuwezi kummuita msomi bali mganga njaa
 
Mkuu kwan hujui ni kada mwanifu wa ccm ambaye taaluma yake huiweka mfukoni

Mkoa wa Mara una aina mbili za watu. Moja ni wale jasiri na uongozi wao ni wa kijasiri na makini. Aina ya pili ni wale waoga wanajipendekeza ili wapate vyeo, hawa ni hatari. Kundi hili linaongozwa na Wajita, na hata kijamii sasa wameanza kuwa kero. Mwacheni Dr Bana aseme, ipo siku hukumu itakuja.
 
Lile jitu nilishaacha kulisikia kabisa. Huwa nikifungua TV nikaona jitu lenye mdomo mkubwa linautumia kutoa pumba najua ni huyo anayejiita 'Dr'Bana, nabadili channel. Kimsingi huyo hatuwezi kummuita msomi bali mganga njaa
Halafu kweli mkuu anapanua panua mdomo wake kutetea ujinga. Hopeless huyu Mzee.
 
Mijitu kama Dr Bana ni mingi sana... sio kwenye siasa hata maofisini. Mimi huwa napenda kuwa define kwa sentensi mbili, moja ni kujitoa ufahamu na pili ni kufikiri kwa kutumia tumbo (njaa kali) #shame
 
Mi sipingani na wale wanaomkubali Dr. Bana kwasababu katika elimu alyways kunakuwepo na two schools of thought. Mbali na hizo "schools of thought, kuna world view ambayo ni exposure...to what extent has someone been exposed to understand an issue?
Kwa mtu yeyote ambae ni Msomi, au ambae amewahi kufundishwa na Prof. Baregu (Mtalaamu wa Political Science) au Prof. Kabudi (Sheria), na pia akajitahidi kupata exposure, hawezi kusema Dr. Bana ni msomi mwenye elimu ya PhD. Anachofanya ni kuganga njaa. Kwa anaekumbuka, REDET (Kituo cha Utafiti pale Chuo Kikuu) ilikua "source" na authority of political research. Alivyoingia Dr. Bana kuwa mkuu wa REDET, hata wafadhili walisitisha kutoa pesa zao maana waliona hana mwelekeo. Anachokisema, kila asiesoma anaweza kukizungumzia. Sasa uchambuzi wa kisomi uko wapi? Ndo maana "nawaunga mkono wanaomuunga maana wanamuunga kwa kuwa na "little exposure" pia wakiwa nanatazama upande mwingine wa Schools of thought". Ila kwa upande wangu simuafiki kabisa.
 
Nimemuona kwenye kipindi cha " Je,tutafika" cha Channel Ten anatema pumba eti Katiba hii Inayopendekezwa wananchi wameipata vizuri na iko safi, hivyo UKAWA wasitake kuleta uchochezi.
Sasa ninachoshindwa kuelewa ni kuwa je, haya anayoongea ni kweli au ni kujifanya chizi kisa njaa ili aokote andazi lililotupwa jala?
Wasomi wa bongo siwaelewi kw akweli.

Mkuu je wanayoyaongea UKAWA ni kweli au wanajifanya machizi kisa njaa ili waokoe andazi kwenye uchaguzi Oktoba?
 
Mara nyingine usilete kitu ambacho hata hukijui.

Isije ikawa wewe ndio Bana mwenyewe, hiyo katiba imeandikwa kitapeli na watapeli wa siasa. Huyo mzee wako ni bonge la mtupu kuna siku aliingia kwenye kipindi akakutana na watu wanaosema nyeusi ni nyeusi sio njano, siku hiyo mzee alipandisha jazba maana amezoea kuongea na wenzake wapindasha mistari. Nikagundua kumbe ana vyeti vya darasani lakini mtupu kishenzi kwenye kujenga hoja. Ajabu eti mtu asiyeweza hata dialogue ndio mshauri wa mambo ya kisiasa nchini, pale ndio nilipogundua kwanini nchi yetu ni maskini. Halafu sio yeye tu karibia wasomi wote walioko serekalini ni watu wenye uwezo mdogo sana wa kureason na maono. Habari ndio hiyo kaka, as a result tokea siku ile Bana apigwe vitasa vya nguvu sijawahi kumuona akiwa kwenye kipindi na watu wenye kusema ukweli.
 
Huyo ni Mhaya wa Bukoba hata Mwl. Nyerere aliwajua tabia yao na ndo maana akasema wasije pewa nafasi ya Uraisi milele na milele

Hakuna Mhaya mjinga kama huyu, Dr. Bana ni mtani wetu kutoka Musoma,ni Mjita. Amekuwa akigombea vyeo mbalimbali ndani ya CCM, aliwahi kuwa mjumbe wa shina wa CCM. Vyeo vya juu ndani ya CCM alikuwa akibwagwa. Ni vigumu sana kumtofautisha uelewa wake na kijana wetu wa darasa la saba, Nape Nnauye. Wahaya kazi yetu ni kupiga pesa. Nikupe mfano mdogo tu wa Escrow. Dili lilisukwa na watu wa Musoma, Muhongo, Maswi, Werema, pesa ikachukuliwa na Wahaya, akina Kilaini, Rugemarila, Mujulizi, Ruhangisa, Kyabukoba nk. Hawa watani zetu wa Musoma bwana tuwaachie kujipendekeza tu..
 
Mi sipingani na wale wanaomkubali Dr. Bana kwasababu katika elimu alyways kunakuwepo na two schools of thought. Mbali na hizo "schools of thought, kuna world view ambayo ni exposure...to what extent has someone been exposed to understand an issue?
Kwa mtu yeyote ambae ni Msomi, au ambae amewahi kufundishwa na Prof. Baregu (Mtalaamu wa Political Science) au Prof. Kabudi (Sheria), na pia akajitahidi kupata exposure, hawezi kusema Dr. Bana ni msomi mwenye elimu ya PhD. Anachofanya ni kuganga njaa. Kwa anaekumbuka, REDET (Kituo cha Utafiti pale Chuo Kikuu) ilikua "source" na authority of political research. Alivyoingia Dr. Bana kuwa mkuu wa REDET, hata wafadhili walisitisha kutoa pesa zao maana waliona hana mwelekeo. Anachokisema, kila asiesoma anaweza kukizungumzia. Sasa uchambuzi wa kisomi uko wapi? Ndo maana "nawaunga mkono wanaomuunga maana wanamuunga kwa kuwa na "little exposure" pia wakiwa nanatazama upande mwingine wa Schools of thought". Ila kwa upande wangu simuafiki kabisa.

Hata mimi naanza kuwa na wasiwasi na hiyo Ph.D, ni magumashi. Huku siyo kuipenda CCM tu, na utaahira umo.
 
Nimemuona kwenye kipindi cha " Je,tutafika" cha Channel Ten anatema pumba eti Katiba hii Inayopendekezwa wananchi wameipata vizuri na iko safi, hivyo UKAWA wasitake kuleta uchochezi.
Sasa ninachoshindwa kuelewa ni kuwa je, haya anayoongea ni kweli au ni kujifanya chizi kisa njaa ili aokote andazi lililotupwa jala?
Wasomi wa bongo siwaelewi kw akweli.

Na inakuwaje aseme ukawa wanataka kuleta uchochezi kwa kuikataa katiba hii?Nayeye kwa kuikubali hii katiba si analeta uchochezi?au anajifanya nchii hii ni kwa ajili ya wanaokubaliana na matakwa ya ccm?nchi hii ni ya watanzania wote.
 
Huyo ni Mhaya wa Bukoba hata Mwl. Nyerere aliwajua tabia yao na ndo maana akasema wasije pewa nafasi ya Uraisi milele na milele

Mkuu uki generalise utakuwa unafanya makosa makubwa,Tabia ya mtu ni malezi yake na hulka yake.Bana ni chumia tumbo na ajipendekeza kwa wakubwa ili angalau apate ka udc.
 
Nimemuona kwenye kipindi cha " Je,tutafika" cha Channel Ten anatema pumba eti Katiba hii Inayopendekezwa wananchi wameipata vizuri na iko safi, hivyo UKAWA wasitake kuleta uchochezi.
Sasa ninachoshindwa kuelewa ni kuwa je, haya anayoongea ni kweli au ni kujifanya chizi kisa njaa ili aokote andazi lililotupwa jala?
Wasomi wa bongo siwaelewi kw akweli.

Toka nianze kumjua huyu mtu sijaelewa elimu yake inamsaada gani kwa jamii.anadhalilisha wasomi huyu
 
Lile jitu nilishaacha kulisikia kabisa. Huwa nikifungua TV nikaona jitu lenye mdomo mkubwa linautumia kutoa pumba najua ni huyo anayejiita 'Dr'Bana, nabadili channel. Kimsingi huyo hatuwezi kummuita msomi bali mganga njaa

umesema vema ameipotosha taaluma yake aliyo ipata kwa muda mrefu.
Ameondoa heshima yake kwa jamii yote wasomi wenye weredi wamempuuza amebaki na siasa majitaka atakumbukwa kama kibaraka wa mfumo ulioshindi kutatua matatizo na kero za wananchi
 
Mi sipingani na wale wanaomkubali Dr. Bana kwasababu katika elimu alyways kunakuwepo na two schools of thought. Mbali na hizo "schools of thought, kuna world view ambayo ni exposure...to what extent has someone been exposed to understand an issue?
Kwa mtu yeyote ambae ni Msomi, au ambae amewahi kufundishwa na Prof. Baregu (Mtalaamu wa Political Science) au Prof. Kabudi (Sheria), na pia akajitahidi kupata exposure, hawezi kusema Dr. Bana ni msomi mwenye elimu ya PhD. Anachofanya ni kuganga njaa. Kwa anaekumbuka, REDET (Kituo cha Utafiti pale Chuo Kikuu) ilikua "source" na authority of political research. Alivyoingia Dr. Bana kuwa mkuu wa REDET, hata wafadhili walisitisha kutoa pesa zao maana waliona hana mwelekeo. Anachokisema, kila asiesoma anaweza kukizungumzia. Sasa uchambuzi wa kisomi uko wapi? Ndo maana "nawaunga mkono wanaomuunga maana wanamuunga kwa kuwa na "little exposure" pia wakiwa nanatazama upande mwingine wa Schools of thought". Ila kwa upande wangu simuafiki kabisa.

asante kwa ufafanuzi makini, mkuu.
 
HIYO tu ndiyo sababu ya kumchukia? Hamnazo kabisa.

Hii thread itakufanya uji expose ulivyo mweupe kumkichwa. Hakuna anayemchukia Bana. Hata kwenye comments za wadau hakuna aliyesema anamchukia Bana. Hisia za chuki unazileta za nini? Wenye akili timamu wakiwepo hata maprofessa wa chuo chake wanapinga misimamo ya Bana na utetezi wake wa mambo ya kijinga.
 
kwani Bana ni msomi? yule mwalimu wa shule ya msingi aliyekutana na PHD barabarani? jamaa ni mtupu sana halafu waandishi hupenda kupata opinion yake lkn nafikiri iko namna ila kwakweli mmmmmh wapi Chachage? rip.
 
Nimemuona kwenye kipindi cha " Je,tutafika" cha Channel Ten anatema pumba eti Katiba hii Inayopendekezwa wananchi wameipata vizuri na iko safi, hivyo UKAWA wasitake kuleta uchochezi.
Sasa ninachoshindwa kuelewa ni kuwa je, haya anayoongea ni kweli au ni kujifanya chizi kisa njaa ili aokote andazi lililotupwa jala?
Wasomi wa bongo siwaelewi kw akweli.

wala usiuhangaishe moyo wako na hawa "wasomi" njaa. huyu Bana hilo akipewa hilo andazi la jala ataishia ki-Muhongo Muhongo tu. hilo liko wazi ila kwa sababu hawa "wasomi" wetu ni vilazana kupofushwa na njaa zao.
 
BANA yuko sahihi kabisa, wanaoibeza Katiba inayopendekezwa wana maslahi yao binafsi na si vinginevyo.

KISWAHILI DARASA LA SITA: Ulichoandika si kweli, hebu andika kinyume cha sentensi yako, utapata jibu na utakuwa umefaulu kwa ile mnaita distinction. Ila kwa sababu wewe una fikiri kimagamba lazima utashindwa makusudi kwani kwenu kujitoa akili ni kawaida
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom