Recent content by wispa

  1. wispa

    Haya ndio yatayonifanya nimpende

    9.inaonyesha kabisa huna pesa! Sasa utawezaje kua na mtoto mzuri mwenye sifa zote hizo halafu huwezi kumpatia kila anachotaka? baadhi ya wanaume hua hamchoki kunishangaza... Ukitaka beautiful woman in and out uwe na uwezo wa kumpa kila anachotaka, akitaka kwenda Dubai kuspend usiku mmoja...
  2. wispa

    Tumshauri jamaa yangu huyu

    Kwani hizo mishe mishe zinazokukeep busy for nothing huwezi kwenda kuzifanya huko aliko baby mama wako? Haki I can feel the pain your woman is going through.. Mtu yupo mkoa mwingine anakuacha unalea mtoto peke yako then hana msaada wowote kwako... Wanawake tuna kazi sana haki ya nani! Ndio...
  3. wispa

    Wadada mliowahi kutafuta wachumba JF na kupata njooni hapa

    Niliwahi kupata, na tulidumu kwenye uhusiano kwa miaka miwili, he is a good guy but at the end of the day tulishindwana kwenye baadhi ya mambo kama ambavyo tu inaweza kutokea kwa mtu uliyekutana nae hata kanisani or anywhere else. Kikubwa unapaswa kua makini kwenye kuchagua maana humu JF kuna...
  4. wispa

    Ushauri: Kaweka Picha ya Mwanamke Mwingine kwenye Profile yake lakini bado ananitaka

    Hua napata tabu sana kuwaelewa wanaume wa aina hii, 38 years na bado ana ruka ruka tu kama mtoto wa mbuzi, badala ya kuwaza kufunga ndoa na kujenga family yeye ndo kwanza ana donoa huku na huko na kuforce kupata mtoto nje ya ndoa, hivi hua ni ugonjwa au ni nini?na hapo unakuta kapata binti...
  5. wispa

    Baada ya vikwazo vingi tunafunga ndoa mwaka mpya

    Unasema hujampendea pesa na hapo unajisifia maisha yamebadilika kutokana na huyo bibi hadi ndugu zako wanakuonea gere, unabadilisha magari ya kwake,unaishi kwenye nyumba nzuri ya kwake na unafurahia kabisa then hapo hapo unatuambia hujampendea pesa, unajichanganya tu
  6. wispa

    Wanawake msilalamike sana

    Sawa hatulalamiki tena ila na nyie mjifunze kutugharamia(mtupe hela ya kutosha), mtugegede vizuri, mtujali na mtupe attention baasi maisha raha mustarehe
  7. wispa

    Utamu wa mapenzi..!

    Kweli nimeamini wavulana na wanaume ni vitu viwili tofauti kabisa
  8. wispa

    Kauli za wanawake zinazoboa

    Hizo kauli hutumiwa na wanawake wa kiswazi sana, yani wale ambao hata shule walikimbia umande,wao hawajishughulishi na chochote in short wapo wapo tu, sasa wewe mpaka uanze mahusiano na watu kama hao wastarabu unakua huwaoni??
  9. wispa

    Sielewi kwanini kila binti mtaani ananiamkia shikamoo

    Hahahaa napata picha jinsi ulivyo kaa kijomba like serious 2015 bado unavaa mayenu, acha tu wakupe shikamoo unastahili
  10. wispa

    Wadada mnasemaje kuhusu hili?

    Asee kumbe ndo maana hua tunabambiwa kwenye daladala
  11. wispa

    Hataki kunipikia, pia hataki tuwe na house girl

    Wewe ni mbinafsi, huyo unaemuita mchumba wako ni mjamzito na wafahamu kabisa jinsi mimba zinavyokuaga na complications mfn.kuchukia baadhi ya vitu mfn harufu ya viungo vya chakula,perfumes etc.kakwambia hawezi kupika cause hajisikii vizuri mbioo ushakimbilia Jf kuanzisha uzi, siku akikwambia...
  12. wispa

    Madhara ya kuvaa chupi

    Itabidi niwe nakukwepa sasa ili madhara yasiwe makubwa zaidi
  13. wispa

    Madhara ya kuvaa chupi

    Hahahaa ili upate picha?
  14. wispa

    Madhara ya kuvaa chupi

    Upepo wa home unatosha, kwenye mizunguko naogopa singida- dodoma
Back
Top Bottom