Haya ndio yatayonifanya nimpende

Haya ndio yatayonifanya nimpende

Natural tingz:
1.Nywele halisi zibanwe nyuma tu.

2.No full time makeups, ngozi iwe free.

3.Chura awepo proportional to thighs.

4.Akiwa na mdomo mdogo its A+ wenye lips nene kidogo.

5.Kapua kadogo like my moms.

6.Urefu sio ishu ila asiwe mfupi below 5ft.

7.Skin tone iwe dry, light au dark brown.

8.Awe independent kiakili asiwe mtu wa circles,mwanamke kushikiwa akili na mashosti its a biggest turnoff kwangu.

9.Awezae kumudu tamaa za mwili katika hali zote kimaisha,sio mtu kila akionacho anataka awe nacho yeye tu.

10.Yule mtaratibu, understanding na pia apendae kuchangamshwa na utani kwa mbali. I would love to see her beauty face smile always na nitahakikisha hilo linatokea kila akiwa namimi.

Mind you, hakuna mkamilifu ila mwenye asilimia 80 ya haya nilioyoainisha ana nafasi nzuri ya kutokewa.
Hebu wenzangu mje mtaje yenu tafadhali!
nnavo vigezp vyoote except numner 5..na pua wide[emoji23] [emoji87]
 
9.inaonyesha kabisa huna pesa! Sasa utawezaje kua na mtoto mzuri mwenye sifa zote hizo halafu huwezi kumpatia kila anachotaka? baadhi ya wanaume hua hamchoki kunishangaza... Ukitaka beautiful woman in and out uwe na uwezo wa kumpa kila anachotaka, akitaka kwenda Dubai kuspend usiku mmoja mpeleke, akitaka kwenda Italy for one week mpelekee, akitaka gari mpya mjini mnununulie.. Sio tena unaanza kumlimit eti "sio kila akionacho anataka" thats the price you will have to pay bro otherwise tafuta tu mdoli
 
Hamna mtu ambaye hana pesa mkuu tunatofautiana viwango tu then im not talking of hoes mkuu, but thats supposed to be a real woman who is gonna be ready. Maisha hayapo kama unavyofantasize, we are living in third world mind you.

Sidhani kama 80% ya watanzania wenzangu wana uwezo kama Mengi ,Bhakresa ama Mo Dewji kuwa atakupeleka dubai n shit. Thats not practical kiuhalisia.
 
Dunia ya kileo imeisha,binadamu tunapenda shepu na sura na siyo tabia![emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Natural tingz:
1.Nywele halisi zibanwe nyuma tu.

2.No full time makeups, ngozi iwe free.

3.Chura awepo proportional to thighs.

4.Akiwa na mdomo mdogo its A+ wenye lips nene kidogo.

5.Kapua kadogo like my moms.

6.Urefu sio ishu ila asiwe mfupi below 5ft.

7.Skin tone iwe dry, light au dark brown.

8.Awe independent kiakili asiwe mtu wa circles,mwanamke kushikiwa akili na mashosti its a biggest turnoff kwangu.

9.Awezae kumudu tamaa za mwili katika hali zote kimaisha,sio mtu kila akionacho anataka awe nacho yeye tu.

10.Yule mtaratibu, understanding na pia apendae kuchangamshwa na utani kwa mbali. I would love to see her beauty face smile always na nitahakikisha hilo linatokea kila akiwa namimi.

Mind you, hakuna mkamilifu ila mwenye asilimia 80 ya haya nilioyoainisha ana nafasi nzuri ya kutokewa.
Hebu wenzangu mje mtaje yenu tafadhali!
Njia rahisi ya kumpata Wa Hivyo ni kuumba wako.
 
Genye hizo, na nvua hizi za dar naogopa kukushangaa
 
Back
Top Bottom