Mechi hakuna lakini ameniganda kama ruba

Cc waafrika bhana, et urafiki wa ke na me lazima uwe wa papuchi na dushe.
 
Aseee uyo demu anakuonea huruma kukuambukiza ukimwi wewe na mkeo....bora umpige chini tu
 
Nyuchi zipo tofauti kabisa,kuna zilizo jazia balaa,na kuna kina kirefuuu,kuna zilizokaa mviringo hivi evelyn upo hapo!
 
Jamani mimi kuna kitu sikielewi, wataalam wa mambo ma mahusiano na psychology mnisaidie.

Mimi niko mikoani, ila nimekaa Dar kwa muda takriban miaka 9. Miaka miwili iliyopita nilifahamiana na dada mmoja, mzuri sana. Tulifahamiana vizuri mpaka akanishawishi nifike kwao nipafahamu. Anauza stationery ambapo kuna internet cafe. Basi ikawa nikija tu kutoka mikoani akijua lazima anishawishi kwa gharama yoyote ile nifike pale, tupige story.

Wakati mwingine hataki niondoke pale. Kwenye simu ananitumia sms nzuri sana na ni mpole na mkarimu sana. Ilifika hatua nikashindwa kujizuia, mwanaume nikawa nimempenda na hisia zangu zote aliziteka. Nilipomweleza, akasema haiwezekani kwa sababu mimi nimeoa nina mke. Akaniambia haijalishi mimi nina tatizo kiasi gani kwenye ndoa yangu maadam nina mke, hata nisipopata huduma miezi sita, yeye hawezi kunisaidia.

Baada ya kusumbuana muda mrefu, nikaamua kumuacha, wakati mwingine tunagombana nakata mawasiliano ili angalau nimsahau. Niliamua kumblock kwenye simu na kila aina ya social media. Lengo langu ilikuwa tu ili nisahau nisiendelee kuumia kwa ajili yake.

Akaanza kunitafuta kwa namba zingine, tukiongea mpaka ananibembeleza, wakati mwingine analia. Ananiambia ananipenda lakini isiwe mahusiano. Kuna wakati alinikubalia kwa masharti magumu sana ambayo hayatekelezeki katika uhalisia.

Kiufupi nimeshindwa kuelewa kwa nini ananisumbua kiasi hiki? Mimi sitaki anitafute nikimwambia asinitafute anasema hawezi kuacha kunitafuta, na hawezi kuacha kunitumia sms. Ni zaidi ya mwaka sasa tunasumbuana. Natamani sana nijue kilicho akilini mwake kinachomfanya awe ananihitaji sana wakati suala la mapenzi halipo.

Kwani kuwa marafiki ni lazima muwe na mahusiano ya kimapenzi!!!!?
 
Yaani huyo siku ukipiga tu, kwisha habari yako, utagandwa mpaka kwa mkeo
 
Kwa hiyo una shida kwenye ndoa unataka wa kupooza moyo wako sio??? Sijui iko shida gani kubwa lakini bora ujipange kuweka mambo sawa kwenye ndoa. Huyo dada anakupenda kimapenzi na ipo siku atakukubali matokeo yake utawehuka kabisa na kusahau familia yako
 
Jamani mimi kuna kitu sikielewi, wataalam wa mambo ma mahusiano na psychology mnisaidie.

Mimi niko mikoani, ila nimekaa Dar kwa muda takriban miaka 9. Miaka miwili iliyopita nilifahamiana na dada mmoja, mzuri sana. Tulifahamiana vizuri mpaka akanishawishi nifike kwao nipafahamu. Anauza stationery ambapo kuna internet cafe. Basi ikawa nikija tu kutoka mikoani akijua lazima anishawishi kwa gharama yoyote ile nifike pale, tupige story.

Wakati mwingine hataki niondoke pale. Kwenye simu ananitumia sms nzuri sana na ni mpole na mkarimu sana. Ilifika hatua nikashindwa kujizuia, mwanaume nikawa nimempenda na hisia zangu zote aliziteka. Nilipomweleza, akasema haiwezekani kwa sababu mimi nimeoa nina mke. Akaniambia haijalishi mimi nina tatizo kiasi gani kwenye ndoa yangu maadam nina mke, hata nisipopata huduma miezi sita, yeye hawezi kunisaidia.

Baada ya kusumbuana muda mrefu, nikaamua kumuacha, wakati mwingine tunagombana nakata mawasiliano ili angalau nimsahau. Niliamua kumblock kwenye simu na kila aina ya social media. Lengo langu ilikuwa tu ili nisahau nisiendelee kuumia kwa ajili yake.

Akaanza kunitafuta kwa namba zingine, tukiongea mpaka ananibembeleza, wakati mwingine analia. Ananiambia ananipenda lakini isiwe mahusiano. Kuna wakati alinikubalia kwa masharti magumu sana ambayo hayatekelezeki katika uhalisia.

Kiufupi nimeshindwa kuelewa kwa nini ananisumbua kiasi hiki? Mimi sitaki anitafute nikimwambia asinitafute anasema hawezi kuacha kunitafuta, na hawezi kuacha kunitumia sms. Ni zaidi ya mwaka sasa tunasumbuana. Natamani sana nijue kilicho akilini mwake kinachomfanya awe ananihitaji sana wakati suala la mapenzi halipo.
Mh inaonekana huyo dada anakuona wewe kama mdoli
Anapenda tu kucheza nawe
 
Analika sana tu huyo. Hujajua tu timing za kumla. She wants it ila we ndo unashindwa kumuelewa. Kiufupi mnaendana kifizikia na kisosholojia tu. Lakini kikemia bado sana, jitahidi kijana.
Mapenzi yanaleta stress sana ndugu yangu (And u already have a wife for that). Just hit her mambo yataenda without stress za kupendapenda. Kampende mkeo huyo mle tu basi
Khaaa!
 
Jamani mimi kuna kitu sikielewi, wataalam wa mambo ma mahusiano na psychology mnisaidie.

Mimi niko mikoani, ila nimekaa Dar kwa muda takriban miaka 9. Miaka miwili iliyopita nilifahamiana na dada mmoja, mzuri sana. Tulifahamiana vizuri mpaka akanishawishi nifike kwao nipafahamu. Anauza stationery ambapo kuna internet cafe. Basi ikawa nikija tu kutoka mikoani akijua lazima anishawishi kwa gharama yoyote ile nifike pale, tupige story.

Wakati mwingine hataki niondoke pale. Kwenye simu ananitumia sms nzuri sana na ni mpole na mkarimu sana. Ilifika hatua nikashindwa kujizuia, mwanaume nikawa nimempenda na hisia zangu zote aliziteka. Nilipomweleza, akasema haiwezekani kwa sababu mimi nimeoa nina mke. Akaniambia haijalishi mimi nina tatizo kiasi gani kwenye ndoa yangu maadam nina mke, hata nisipopata huduma miezi sita, yeye hawezi kunisaidia.

Baada ya kusumbuana muda mrefu, nikaamua kumuacha, wakati mwingine tunagombana nakata mawasiliano ili angalau nimsahau. Niliamua kumblock kwenye simu na kila aina ya social media. Lengo langu ilikuwa tu ili nisahau nisiendelee kuumia kwa ajili yake.

Akaanza kunitafuta kwa namba zingine, tukiongea mpaka ananibembeleza, wakati mwingine analia. Ananiambia ananipenda lakini isiwe mahusiano. Kuna wakati alinikubalia kwa masharti magumu sana ambayo hayatekelezeki katika uhalisia.

Kiufupi nimeshindwa kuelewa kwa nini ananisumbua kiasi hiki? Mimi sitaki anitafute nikimwambia asinitafute anasema hawezi kuacha kunitafuta, na hawezi kuacha kunitumia sms. Ni zaidi ya mwaka sasa tunasumbuana. Natamani sana nijue kilicho akilini mwake kinachomfanya awe ananihitaji sana wakati suala la mapenzi halipo.

Kijana, unaelewa maana ya ATM?
 
Yawezekana anamuhudumia(kumuhonga).Ndio maana hata urafiki wenu ufe ili aendelee kukuletea shida zake.
 
Back
Top Bottom