Sielewi kwanini kila binti mtaani ananiamkia shikamoo

Sielewi kwanini kila binti mtaani ananiamkia shikamoo

Waheshimiwa nashindwa kuelewa wasichana wengi hapa mtaani kwetu kupenda kuniamkia kitendo ambacho kinafanya nishindwe kuendelea na zoezi la kumtongoza binti husika

Sasa sijaelewa huenda wanadhan mm ni mtu mzima maana nina ka kitambi kwa mbaali, na pia napenda kuvaa mkanda nje, mayenu

Yaani hata wale wa rika moja na mm wananiamkia sasa hii tabia ya kuamkia hovyo hovyo imetoka wapi siku hizi? Mnatafuta nn haswaa, tunaanza kuzeeshana bila sababu ya msingi, mwamkie mzazi wako nyumbani bana

Wanaoamkia wepesi sana, wana woga flan iv wa kupretend, so ni rahisi sana kuimbisha, cha msingi usiongee mengi, unamtia misimbazi wawil af unamwambia ni nauli ya bajaji aje eneo la tukio umsomeshe vizuri, haezi chomoa, af uje na mrejesho kama bado ataendelea kutoa shkamoo.
 
Kukuamkia kwao hakuwezi kuwa sababu ya wewe kukosa kuwatongoza.....ingekuwa shikamoo ni kinga basi tusingesikia kesi za waalimu kulala na wanafunzi wao......wala kesi za wazazi kulala na watoto wao wa kuwazaa....maana hao shikamoo zinaanzia udogoni mpaka uzeeni.....
 
Hahahaa napata picha jinsi ulivyo kaa kijomba like serious 2015 bado unavaa mayenu, acha tu wakupe shikamoo unastahili
 
Waheshimiwa nashindwa kuelewa wasichana wengi hapa mtaani kwetu kupenda kuniamkia kitendo ambacho kinafanya nishindwe kuendelea na zoezi la kumtongoza binti husika

Sasa sijaelewa huenda wanadhan mm ni mtu mzima maana nina ka kitambi kwa mbaali, na pia napenda kuvaa mkanda nje, mayenu

Yaani hata wale wa rika moja na mm wananiamkia sasa hii tabia ya kuamkia hovyo hovyo imetoka wapi siku hizi? Mnatafuta nn haswaa, tunaanza kuzeeshana bila sababu ya msingi, mwamkie mzazi wako nyumbani bana
kweli nchi ngumu hii!!
 
Ata kama ni mchepuko shikamoo yangu lazima utoe " heshima kwanza "
 
Wenzako wakiamkiwa wanaitikia Ahsante baby mambo, kesho hakuamkii. Hadi mfundishwe vijana wa siku hizi mnataabu midomo zege tu, baba zenu walikuwa wakiimbisha ukirudi home unaumwa siku tatu kwa mawazo hapo ujatoa jibu mwaka mzima anakuimbisha hachoki
 
Last edited:

Hahahahahaaa uwiiiiii umetisha mkuu.
 
tatizo la kuishi maeneo krb na shule unayofundisha,

mbona sisi madereva hatuamkiwi kbs
yaan saa ingine binti anaomba lift anakuangalia tu mpk inabid mm nimuanze
kwa kibez kdg HUJAMBO, siijambo mambo? Wee utakuwa mwalim kama vip badili gia hewan?
 
Shikamoo haiwezi kuwa kikwazo cha kuwatongoza hata siku moja
 
najaribu ku zoom sura yako ilivyo "kama lami za magufuli" hapo lazima uamkiwe hadi na wamama.
 
Duuuuuuu, ulikuwa hujui sura inakimbizana na umri, hiyo
 
Hahahaha aache kuvaa mayenu.

Na ndo keshanyimwa huyu, khaa!
Tuache utani mimi kuna sehemu moja ya starehe nimeingia weekend iliopita kuna mdada kasimama mlangoni kukaribisha wageni akaniamkia!!! Kusema ukweli aliniacha na maswali mengi sana!
 
Muonekano wako ndio unaokuangusha,fasheni na zama za mikanda nje,mayenu sjui masuruali ya kitambaa yalishapitaga zamani sana,jifunze kuvaa kisasa uone kama shkamoo hazijapungua.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom