BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,217
Mahari ilitoka wapi? Its source...Mimi ndio nilipeleka mahali, hivyo naoa mm
Magari ya nani
Nyumba ya nani
Pesa za nani ?
Tafakari.............utapata jibu kama unaoa au unaolewa
Mahari ilitoka wapi? Its source...Mimi ndio nilipeleka mahali, hivyo naoa mm
we jamaaaa unaona mbali kweli.Mimi ndio nilipeleka mahali, hivyo naoa mm
Punguza uwivu sumbai...Mume miaka 34 mke miaka 51.
nawaza kimya kimya baada ya magufuli kumaliza awamu mbili akija makamba kwa awamu moja. Miaka 15 from now.
Wewe utakuwa na 49. nayeye atakuwa na miaka 66.
Kila la kheri mkuu, but wenzako hawaowagi sugar mummy. Wanakula na nakuacha mkuu
Hao watoto wawili wataadopt au,maana mkewe kashafika menopauseNaona unabadilisha magari upo kwenye nyumba nzuri. Sasa mtafute watoto angalau wawili
Nina wasiwasi jamaa ni mganga wa kienyeji anataka kuacha kazi yake kwa style hiyoMnafunga ndoa au unaolewa????
He is a jokemimi sina kikwazo na kuolewa kwako, japo nikinyume cha maadili kuwa na mahusiano na mama yako....
Labda sheikh yasin atakujibu vizuriHao watoto wawili wataadopt au,maana mkewe kashafika menopause