Siku zote mitandao hii ndo imetuharibia pesa zetu haswa matapeli nao wanakuja kupitia mitandao hizi mtu anapiga simu na kujifany mhudumu wa voda kumbe hakuna ila kuna mmoja nakula nae sahani moja nimemtia mikononi mwa sheria ss naimani hawa wezi wanakuwa washafanya kazi mitandaoni...
Mwaka ndo huo umeingia sijui kama umekuja na neema!!! Maana sitacki kukumbuka ya nyuma ni kweli mwaka ulopita ni mwaka ambao wengi wao hatutousahau, mpaka sasa tumepoteza wapendwa wetu, tumekutana na changamoto nyingi kama vile maisha magumu pia mizunguko ya pesa kudolola, matukio ya ajabu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.