LOSEJMASAI
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 332
- 856
Wana JF natafuta mtz yoyote ambaye yupo Spain. Nimekuja Spain kishule lakini ningependa kukutana na wabongo wenzangu, tubadilishane hata mawazo
Haya Mkuu, Nitawasaka nikijua mitaaWasalimie Messi, Neymar, Suarez na Ronaldo
Mzee wa magreen tomalini,mwamalili moja na kati ya keleja.Wana JF natafuta mtz yoyote ambaye yupo Spain. Nimekuja Spain kishule lakini ningependa kukutana na wabongo wenzangu, tubadilishane hata mawazo
Unamanisha nini by MOI mkuu?Upo moi gani
Nipo Catalunya, BarcelonaSpain kubwa ati, wewe upo mji gani?
Ndo anapatikana wapi huyu tenaFaridi mussa
Usisahau kwenda beach ya ibiza,masanja,keleja na majaliwa na naomi wanakupa hi ngaluNipo Catalunya, Barcelona
Hebu fanya kunitumia namba yako PM, maana inaonekana umeshanifahu ahahahhahahUsisahau kwenda beach ya ibiza,masanja,keleja na majaliwa na naomi wanakupa hi ngalu
Haya Mkuu Ngoja niigoogle.Anachezea tenefiri....smetokea azamu
Nipo Catalunya, Barcelona
aahahhahah,, haya bhana. Nipo huku boss nina muda sana now,, ingekuwa lengo ni hilo ningekuwa nimepost toka zamani tu. Shida hapa TZ hawana Ubalozi,Lengo ni tujue tu uko spain.haya na me niko norwich-uk kimasomo