Msichana wa kazi za ndani anahitajika haraka

Milale

JF-Expert Member
Aug 29, 2013
494
189
Msichna wa kazi za ndani anahitajika haraka maeneo ya kazi ni dar mshahara 40000 kwa mwezi maeneo ya kazi ni dar,
 
Msichna wa kazi za ndani anahitajika haraka maeneo ya kazi ni dar mshahara 40000 kwa mwezi maeneo ya kazi ni dar,kwa anayehitj 0625489948
duu blaza ulipotelea wap kama mwaka na miez 6 sikukuona kipind icho sikujiunga jf...
 
Niliwahi kusema sheria za wafanyakazi wa majumbani zipitiwe upya na viwango vitangazwe, swala la mfanyakazi kukaa nyumba moja na mwajiri liangaliwe na wafanye kazi kwa masaa. Hii ni dhuluma ambayo inaendekezwa sana Tanzania. Wafanyakazi wa majumbani wanadhulumiwa sana.
 
Watu wengine ni wanyanyasaji sana, sasa kweli Dada wa watu akufanyie kazi kwako mwezi mzima umlipe 40000/= are you serious?. Sometimes unaweza ukawa na uwezo wa kumtafutia mtu hg ila kwa mshahara huo siwezi kupeleka mtoto wa watu akanyanyasike
 
Msichna wa kazi za ndani anahitajika haraka maeneo ya kazi ni dar mshahara 40000 kwa mwezi maeneo ya kazi ni dar,kwa anayehitj 0625489948
Hizo dharau ss utamuajirije mtu umlipe elfu arobaini isitoshe kaxi mnawapa nyingi aisee kuweni na huruma afadhali iwe laki moja
 
Niliwahi kusema sheria za wafanyakazi wa majumbani zipitiwe upya na viwango vitangazwe, swala la mfanyakazi kukaa nyumba moja na mwajiri liangaliwe na wafanye kazi kwa masaa. Hii ni dhuluma ambayo inaendekezwa sana Tanzania. Wafanyakazi wa majumbani wanadhulumiwa sana.
Upo sahihi kwa ulonena
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom