Mwaka ndo huo umeingia sijui kama umekuja na neema!!! Maana sitacki kukumbuka ya nyuma ni kweli mwaka ulopita ni mwaka ambao wengi wao hatutousahau, mpaka sasa tumepoteza wapendwa wetu, tumekutana na changamoto nyingi kama vile maisha magumu pia mizunguko ya pesa kudolola, matukio ya ajabu yalishamiri mwaka 2016 tena ya kutisha. Tumwombe Mungu atujalie maisha mema yenye baraka njema, najua kuwa waliouona wakiwa hai na wengine walitamani kuuona ila imeshindika .
TUMUOMBE MUNGU ATUJALIE HUU MWAKA UWE WA NEEMA NA AMANI..
TUMUOMBE MUNGU ATUJALIE HUU MWAKA UWE WA NEEMA NA AMANI..
