Natafuta mtu wa kuuza VODASHOP

van mab

Senior Member
Dec 6, 2016
103
61
Anahitajika mtu wa kufanya kazi kwenye Vodashop .
Sifa;
Awe anakaa mbezi au kimara..
Awe na Elimu ya form 4
Ajue kuongea kiingereza
Awe msichana wa miaka 18 mpaka 30.
Mawasiliano 0715407508
 
Kama mpesa siku hizi wanasajili line, kuuza simu na voucher, pamoja line swoop . . basi sawa
 
Wasichana waaminifu wavulana hawachelewi kusepa na mkwanja!
Wasichana wengi wao mbali na uaminifu, wana kauli nzuri yaani custumer care ..ingawa pia wapo wanaume wachache waaminifu na wenye kauri nzuri pia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom