Recent content by winky

  1. winky

    KERO Wakazi wa Mbezi Msakuzi kaskazini(kwa lubaba hadi pande) hatuna huduma ya uzoaji TAKA tangu february 2024

    hapana njia nzuri tu na zimechongwa ni sisi tu mitaa mingine wanapata huduma
  2. winky

    KERO Wakazi wa Mbezi Msakuzi kaskazini(kwa lubaba hadi pande) hatuna huduma ya uzoaji TAKA tangu february 2024

    Yapata miezi 7(saba) sasa tangia taka zitolewe mara ya mwisho Wakazi wa eneo hili la mbezi msakuzi kaskazini ambayo ni kata ya mbezi na wilaya ya ubungo hatujapata huduma hii ya kuzolewa taka. Licha ya kuwa mara ya mwisho Mtendaji na timu yake walipita kila nyumba na kukusanya shilingi 10,000...
  3. winky

    Wanafunzi mpaka wa primary wanavuta sigara za kielektroniki serikali na wazazi mko wapi?

    hali ni mbaya zinauzwa hadi maduka ya mangi mtaani kwa 10k tuu flavor unayotaka, wataponea wapi hawa watoto na serikali imeruhusu.
  4. winky

    Family business: Mke wa kamshika masikio kaka, anazidi kuingiza ndugu zake, ndio mwanzo wa hostile takeover ??

    hapana usikubali huo ujinga, mtapigwa sijui mlie na nani, maana wakifanya chochote cha hasara kesi itapotezwa kifamilia na huo ndo mwisho wa biashara. hutakuwa na nguvu hata ya kuwakemea na lazima wataiba tuu.
  5. winky

    Series (Special thread)

    sorry naomba kufahamishwa, kudownload hizi series episode au movie kupitia torrent au direct kama nkiri ipi ina unafuu wa mb??
  6. winky

    Series (Special thread)

    akeshaondoka hii season 4 na ya mwisho 5 hatokuwepo kambadili liam hermsworth kama sijakosea jina.
  7. winky

    TBS na TFDA zimeshindwa kuwajibika ipasavyo na kuwaumiza Watanzania

    Wito wangu ni kwa Mh Rais.. tunaomba uziangalie hizi taasisi mbili kwa upya kwa sababu hawafanyi kazi zao zinavyopaswa na kuumiza watanzania kwa kiasi kikubwa sana. TBS IMESHINDWA KUWAJIBIKA VITU FAKE NI VINGI NA VIMETAPAKAA NA HAKUNA ANAYESHUGHULIKA Tukianza kuanzia mafuta,sabuni (vipodozi...
  8. winky

    Natumia laini ya ttcl ila kuanzia juzi haisomi kwenye data ninaomba msaada

    Allow data roaming kwenye simu yako mana tuna roam na airtel
  9. winky

    Mashambulizi ya risasi jana Kinondoni mbona Polisi wako kimya? Hakuna taarifa yoyote?

    Hii clip iliwekwa kama sikosei ni kwa juma lokole lakini ikawa deleted, kama kuna sehemu inaitwa kinondoni kwa abas tarimba basi maeneo hayo na jina lililotajwa sana me nilikuwepo hospitali nilipowaona majeruhi. Sikai maeneo hayo. Na video ilikuwa inaonyesha vizuri sana sijui kwa nini Ali delete...
  10. winky

    Mashambulizi ya risasi jana Kinondoni mbona Polisi wako kimya? Hakuna taarifa yoyote?

    Jana kulikuwa na shoot out kinondoni na wananchi wengi wameumizwa lakinj polisi kimya kama hakujatokea kitu, ulikuwa ni ugomvi kati ya mmiliki aliyenunua eneo anayetaka kubomoa na wananchi. Kuna video clip ilipostiwa ambayo ilikuwa deleted chaaap inaonyesha maaskari ambao sina uhakika ni police...
  11. winky

    Serikali punguzeni gharama za kuingiza umeme ili mkusanye kodi

    Sasa unadhani anaetumia solar anajikomesha au anakomesha tanesco?? Maeneo ya vijijini bado ni 27000 kama hawaingizi umeme ni tatizo jingine na mjini ni 321000 sasa umejenga nyumba kuanzia mil 10 kwenda juu unataka umeme wa 27k?? Hata circuit breaker na main circuit yako tu ni ghali kuliko hiyo...
  12. winky

    Msaada wadau, Mtoto mdogo wa mwaka mmoja amekatazwa vyakula, ana allergy sasa

    Je umemuona pediatrician (dkt wa watoto) ndo kakupa hayo maelekezo au umeenda hospital ya alergy wamempima tu?? Alikuwa na shida gani hadi wampime alergy?? Hii iliwahi kunitokea mtt mdg alikuwa anawashwa mwilini nilizunguka sana nikaenda hospital ya alergy wakampima wakasema anaalergy karibu...
  13. winky

    Generator gani ni nzuri?

    Nyumba yenye 3 phase je yenye vitu vingi vya umeme vikubwa?!
  14. winky

    Rais Samia tusaidie Wilaya ya Ubungo kuna kero kubwa

    Sio kidimu ya pwani kuna kidimu njia ya kupita msitu wa pande kama unaebda tokea bunju mbele ya mpiji mwisho.
  15. winky

    Rais Samia tusaidie Wilaya ya Ubungo kuna kero kubwa

    Naomba kuchukua nafasi hii kuelezea changamoto zetu na kutoa pendekezo kuwa wilaya ya ubungo igawanywe itoke wilaya ya ubungo na kibamba ili tupate mbunge, dc, das na halmashauri yetu. Kwa kuwa sisi wakazi wa kipande cha kuanzia Mbezi makabe, msakuzi,Msumi, mpiji yote na kidimu hawa viongozi...
Back
Top Bottom