Recent content by Window7

  1. Window7

    Stend ya Mbezi kwa Magufuli kosa kubwa ni hili

    Serikali ichukue hatua, hata stand ilipohamishwa kutoka Kisutu kwenda Ubungo raia wa katikati ya mji waliiaminisha serikali hilo haiwezekani. Kwa hiyo, LATRA isimamie na kushurutisha Mabasi yote yaende Mbezi. Piga marufuku Shekilango, riverside au sehemu yeyote ile bus la mkoani kupakia...
  2. Window7

    PostGE2025 Dotto Biteko atemwa rasmi na Rais Samia

    Hii nchi ukiwa na akili timamu utaishi kwa shida sana.
  3. Window7

    Live from Dallas, US: Kongamano la Uwekezaji la DICOTA Kuwahamasisha Diaspora kuwa Wawekezaji

    Hawa diaspora watengewe Diaspora Industrial Park, serikali iwawekee masharti nafuu, watakuja kuwekeza nyumbani. Cc VPN
  4. Window7

    GE2025 Wabunge wa sasa waliokatwa kugombea CCM hawa hapa

    Hapo kwa Makamba hajakatwa, zile nafasi za Rais ipo moja inamsubir. Lakini pia, atakua huru kuzunguka nchi nzima uchaguzi huu bila pressure za jimboni.
  5. Window7

    Utaniweza wapi utundu nimeanza zamani mie

    Nimeona comments nyingi za watu wenye stress, wanataka uhalisia kwenye social media.. Nenda riverside na uwanja wa fisi kapige chabo. Endelea kutuburudisha Binti wa zamani
  6. Window7

    Mbinu za kumfukuza kwako kijana aliyefikia umri wa kujitegemea

    Haya sio malezi, ni uchawi. Hua siku zote naamini mzazi anayetegemea ajira ni mbinafsi ambae hataki kujali kizazi chake kitaishi vipi. Wekezeni kwenye ma kampuni na biashara ili watoto uwafukuze kwenda ulaya na uchina kujifunza fursa sio kuingia mtaani kujumuika na mateja!
  7. Window7

    Uzi wa dondoo!.

    Salimia watu, pesa huisha.
  8. Window7

    Yanga: Dube akikaribia goli, taa inapunguzwa mwanga asione goli

    Wakifika golini na goli linahama.
  9. Window7

    Nimetapeliwa na mtu aliyejitambulisha kama afisa Mikopo Mo Dewji Foundation

    Unawezaje kumuamini mtu ambaye hawezi kutofautisha R na L kwenye serious conversation kama hiyo? Kwa namna yeyote ile, nilishafutilia mbali kutuma pesa kwa mtu yeyeto bila kupata ninachotaka. Iwe huduma au biashara, sheria yangu ní hiyo, fikisha mzigo au huduma nikulipe hutaki basi.
  10. Window7

    PreGE2025 Baada ya kutenguliwa Nape kaamua mazima na kufuta account yake X (Twitter)?

    Wanasiasa ní kama ndugu, wakigombana shika jembe kalime. Nape na Makamba wametokea sebuleni, wataibukia chumbani mshangae.
  11. Window7

    Gari ulinunua milioni 10.5 mwaka 2020 halafu leo unataka kuliuza milioni 13.5?

    Ukizungumzia depreciation angalia na thamani ya pesa unayozungumzia. TZS inashuka kwa kasi, ukiweka depreciation muuzaji anakua amepata hasara Mara mbili. USD 5000 za 2018 kwa TZS sio sawa na USD 5000 za 2023. Lakini pia, ithaminishe hyo Gari kwa USD kutoka mwaka alionunua, utagundua Kuna...
  12. Window7

    Batch ya kwanza kutoka Mloganzila limeingia mtaani, muwe makini

    Wakumbuke kuwapa tarehe za kurudi service!
  13. Window7

    Unachokoza wanaume halafu unakimbia kujificha nyuma ya mkeo na watoto, Hamas Wanachekesha sana

    Kwa jinsi miaka inavyokwenda, Kuna siku dunia nzima itamuelewa Hitler. Kwa bahat mbaya sana hakua muislamu, hivyo akaitwa Dikteta.. kwa maana ili uwe gaidi sharti kwanza uwe muislamu. Hii post haihusiani na udini, kasome historia ya Hitler.
Back
Top Bottom