Wanawake wameumbwa kwa mambo mawili tu nayo ni;
1) Kututuliza tunapochanganyikiwa na
2) Kutuchanganya tunapotulia.....🤣🤣
Huyo rafiki yako anaekusindikiza kwa baby wako mara kwa mara ipo siku ataenda mwenyewe.....😊😊
Oga, vaa vizuri unukie madeni yapo tu....😁😁
Ulisema ukiwa mkubwa utasaidia masikini na wenye mahitaji. Haya, jisaidie sasa....😆😆😆
Raha ya mke mfupi hata akiangusha simu haivunjiki...😀
Setfree usimruhusu mumeo aombe kimyakimya kwa sauti ndogo maana hachelewi kuomba mke wa pili huyo mpuuzi 😊😊
Ni siku mpya ukiamua unune au utabasam sura ni yako hatukupangii...😊😊
Nilale sasa angalau mbu nao wapate chochote kitu ☹️...