Recent content by Wilson Joseph

  1. Wilson Joseph

    JamiiForums Tanzania Nimelidondosha Bumunda jingine leo. Sitaki ujinga

    Elfu kumi kumi 30 Elf tano tano 60 Elf mbili mbili 150 Elf moja moja 300 Mia tano tano 600 Uliwezaje kutuma hii ????
  2. Wilson Joseph

    JamiiForums Tanzania Video: Vijana kuweni serious. Kuna huyu Thobias Kahimba alianza kwa kuchoma CD kwa Tsh 100 hadi amekuwa Bilionea. Mnakwama wapi?

    Aka fight sana apo aya kwanza ndo msingi wa ubilionea,Ali fight nini na akiwa anacho cd ?
  3. Wilson Joseph

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ntobi avuliwa Uenyekiti Mkoa wa Shinyanga kutokana na utovu wa maadili na nidhamu dhidi ya Lissu

    Fimbo ilotumika kuua nyoka hai hifadhiwi ndani sharti lazima itupwe mbali
  4. Wilson Joseph

    JamiiForums Tanzania Mabinti wengi wanaacha shule kwa kisingizio cha kuandamwa na mapepo au mashetani

    Sijui mtazamo wako na imani yako katika hili,Ila omba isiwe nyumbani kwako, Hao matajiri hukutwa pia tena sana sie masikini tunajulikana haraka sababu ya ile hali ya kutafuta msaada mwisho tunaonekana hatupendi shule,Tuna singizia mapepo. SIKU LIKIWA KWAKO UTAELEWA
  5. Wilson Joseph

    JamiiForums Tanzania Zuchu aachane na Wasafi asimame mwenyewe kama Nandy ! Atafute mume aolewe muda ni sasa awe na familia

    Hata kwa Mavoko mlianza hivi ,mara ooo yeye ni msanii mkubwa hatakiwi kua chini ya lebel, Mkasema ye ni Messi wa bongo fleva anajiweza sana ,yaliyo endelea na yanayo endelea kwa Messi ndo haya, Msivyo na soni mkaanza tena alifanya haraka kutoka ilibidi abaki kidogo leo hata habari zake hamna...
  6. Wilson Joseph

    JamiiForums Tanzania Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

    Katika familia yetu,wote ambao mama alipiga nao hawapo tena duniani pamoja na mama mwenyewe, Mimi na dada mkubwa hatukwai piga nae picha tupo hai,picha zao tunazo
  7. Wilson Joseph

    JamiiForums Tanzania Zifahamu nguvu ya sheria za siri za ulimwengu

    Inatumika sana na wao pia wanajua, pamoja na kuiba mali zetu na maendeleo yao kwa ukubwa wake na mizani yake, Unakumbuka Corona ,Vimbunga, ukosefu wa utulivu nk,
  8. Wilson Joseph

    JamiiForums Tanzania Maisha yamejaa huzuni kuu, nini kinaleta furaha maishani?

    Niliwahi kufikiri nahitaj elimu kua bora nikapata,nikafikiri kuhusu pesa sijakosa kiivo ,nikasafiri mahali kwingi kubadili mandhar lakini bado ni mpweke sana
  9. Wilson Joseph

    JamiiForums Tanzania Mji wa Dar es Salaam ni mishe mishe

    Hwezi ielewa Dar kama ulienda one time likizo kwa mjomba au ulitumwa kuelewa Dar angalau uwe uliwahi ishi man alone na ukafanikiwa kupambana man alone kupata rizki
  10. Wilson Joseph

    JamiiForums Tanzania Ni movie gani umewahi kuangalia ikakutoa machozi?

    The stoning of Soraya
  11. Wilson Joseph

    JamiiForums Tanzania Kipi bora kati ya uishi na mtu usiyempenda lakini unapata kila kitu, au unayempenda lakini hawezi kupa huduma zote?

    Ni hulka ya binadamu kukinai,Hata umpe vitu gani kuna siku ata kinai na atatafuta anakopenda huku akiwa ndani kwako ,Hakuna binadamu anaweza usaliti moyo wake
  12. Wilson Joseph

    JamiiForums Tanzania Kwanini umpe mwanamke hela?

    Ukweli pesa kwa girl friend ni njia ya kurahisisha kupata ngono huku mwanamke akiamini anapendwa ,Pesa ingekua solution mahusiano mengi ya wenye hizo pesa yasinge vurugika, Pesa ya mwanaume ni halal kwa mke na watoto na hapo ndipo tunatakiwa kuwajibika kwa MACHOZI NA DAMU
  13. Wilson Joseph

    JamiiForums Tanzania Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Kama panauma vaa uende
  14. Wilson Joseph

    JamiiForums Tanzania Uchawi upo! Muendekeze Mungu ufe masikini

    Hakuna ubaya unaishia kwa wema ,Hakuna mafanikio bila akili na bidii
Back
Top Bottom