Loading.......!Subiri mpaka apatikane waziri mpya ili aje na utaratibu mpya wa uamisho coz ataanza upya na style take.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini hivi vitendo vya watu kutekwa na kupigwa risasi huu utamaduni sijui umekujaje kwenye nchi yetu, haya mambo tulikuwa tunayasikia nchi nyingine, na ubaya wake wanaofanya hivi eti hawajulikani sasa hii itakuwa inajengea hofu hata raia pia tutakuwa tunashindwa kuaminiana hata baina ya wenyewe...
Hapo jumlisha hizo za mwanzo na za pili jumla yake atakae mzidi mwenzie ni bingwa lakini kwa swala la kuachia nyimbo nadhani waliangalia nani kapata views wengi muda mchache mara baada ya kuachia nyimbo ndio maana Ally Kiba wakamweka juu coz alikuwa ana views wengi lakini hii haimaanishi wewe...
Wewe umefanya makusudi ili mtoto wa watu afail ili akufanyie biashara zako na ili umtawale kwasababu kama unajua wewe ni chanzo na unampenda kweli usingemfanyia hivi cha msingi mtafutie ada ya kumsomesha aanze upya chuo kingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa anamcharaza viboko mzazi wakati hajui chochote pia badala aangalie wanafanyaje kurudisha kioo na nisababu ipi iliyopelekea watoto kuvunja kioo anikimbilia kucharaza viboko stress huwa hazimwachi mtu salama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kumpiga wembe kwani kuku unavyomnyonyoa unampiga wembe unamchemshia maji halafu unamloweka kisha ananyonyolewa maanake huyu boyfriend anamanyoya kawa ndege kama kuku
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo nywele zina majina yake kama sharubu, ndevu, vinyeleo,garden love nk mtake radhi boyfriend wako kwanza unaposema manyoya kwani yeye kawa ndege hatuelewi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa tunarudi kwenye ujamaa kwamba misingi yote ya uzalishaji inarudi mikononi mwa serikali na serikali ndio muamuzi na mpangaji wa yote badala ya kuwa mikononi mwa watu binafsi kwaiyo kwa sasa tutarajie utaifishaji sio tena ubinafsishaji kwa hali hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi mashine tunaangaika bora vingewekwa viwango maalumu vya kulipiwa kodi katika kila biashara watu wangefurika hadi wangeshindwa kuwahudumia pia wangeamsha ukuaji wa biashara coz kila mtu ungekuwa anaelewa akalipe nini, sasa tatizo unatumia machine lakini bado unakadiliwa kwa viwango...
Kwani huyo victor wanyama ni nani hapa tz, na kwanini huo mtaa wauite hivyo au ni mtu maarufu kwa kuchoma au kukaanga nyama au mishikaki ndio maana ukaitwa mtaa wa victor wa nyama nini?
Tatizo ni quantity mo juice zake kaziweka kwenye ujazo mkubwa lakini azam ujazo wake upo palepale ila Azam ni wabunifu huwa wanaanzisha kubuni vinywaji mo ana copy.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.